Mliokuwa mnafikiri miradi ya Hayati Magufuli ni halalisho la kuua demokrasia, hili la Bandari litawasaidia kujua gharama ya demokrasia

Ewaaaaa well Said, haya maupumbavu yanayoendelea ni matunda ya maujinga yake
We kweli hujitambui Magufuli anahusika vipi kwa kina Samia kuingia mikataba ya ovyo? Magufuli alizuia majizi yasifanyike yanayotaka ndio maana alipofariki wakishangilia sana.chini ya Magufuli asingekubali mikataba ya ovyo.
 
Jizi ni wewe na mwendazako wako kule chato kasha oza tayari.
Wanaompinga Magufuli ni nyie majizi mafisadi ambayo ambao mmepata mwanya wa kufanya mnayotaka sasa hivi mnatakiwa mlaaniwe au mpigwe risasi mnaiharibu nchi hii sana.
 
Ishu ni kuwa mwendazake alikuwa mzalendo na mtetez wa wanyonge....angekuwa mwizi na mlafi kama mama asingependwa na mtu yeyote nchini
Mzalendo pekee kuwahi kutokea tangu uhuru ni Mwalimu Julius kambarage Nyerere!! Msipotoshe .. hawa wengine ni wanakula kwa namna yao.
 
Ishu ni kuwa mwendazake alikuwa mzalendo na mtetez wa wanyonge....angekuwa mwizi na mlafi kama mama asingependwa na mtu yeyote nchini
Lile ndo lilikuwa jizi kubwa liloiba mpk uchaguzi na matokeo ndo legacy alokuachieni ya hilo kusanyiko
 
Kwaio uchaguzi huru na wa haki ni kwa JPM tu?sio kwa Mwinyi, Mkapa or JK, au hawa wengine hawakufanya uchaguzi?ht uchaguzi ungekua huru na wa haki upinzani wasingekua na wabunge zaidi ya Nusu bungeni kuweza kuzuia muswada, hizi ni hesabu za kawaida tu huitaji kua mtaalam wa statistics kulijua hili.
Hapo ndipo lilipo tatizo. Mnadai kuwa wapinzani hawawezi kushinda zaidi ya nusu za kura katika uchaguzi ulikuwa wa huru na haki lakini hamtaki kujaribisha.

Amandla...
 
Magufuli ni Mwalimu wao wa kuendesha nchi ambae awakumuelewa, kwa sababu ya wivu wao wa kazi zake.

Hila sasa wanajutia uongo wao, Magufuli akuwahi zuia habari kama wanavyomsingizia hila alitaka sheria ambayo ipo itumike kwenye kupotosha.

Aliingia madarakani magazeti yakiwa yanaweza andika mama ajifungua chatu huku yanachekewa na huko CDM kulikuwa kuna kiwanda cha kutunga uongo; kama kwenye ili sakata la IGA 99% ya mada za kwenye ili jukwaa ni kuto kuelewa ‘the law of contract’ hiyo ndio shida hasa kuhusiana na maswala ya FDI. Yeye akishaelewesha halafu ukaendelea kutunga uongo uwe ubalozi, chombo cha habari au mwanasiasa mtaelewana.

Kingine ni swala la mikutano ya hadhara it’s political etiquette nchi za wenzetu baada ya uchaguzi; kufunga mikutano ya hadhara mpaka kipindi cha campaign. Donald Trump achezi na rules hizo na vyombo vyao vya usalama vimeshamchoka. East Africa hasa Kenya na Tanzania hatuna ustaarabu huo; sisi tunataka mikutano ya hadhara kila siku ya mwaka for 5 years hilo ni tatizo.

Otherwise Magufuli was the best president ever in Sub-Sahara Africa.
 
Unajua details za huo mkataba, mda wake? Faida ya taifa? Nk.
Mkataba - Ni kati ya Tanzania na Uganda na bomba la mafuta machafu litalala kutoka kwenye chimbo nchini Uganda hadi bandarini Tanga. Ujenzi wake watarajiwa kukamilika 2025.

Sasa hivi vijana wa nchi hizi mbili watafutwa ili wapewe mafunzo ya kufanya kazi kwenye mradi.

Faida- ni pamoja na kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Uganda, ukuzaji mapato utatokana na makusanyo ya kodi na ushuru wa mafuta machafu yatayosafirihsw nje ya nchi.

Pia mradi utachagiza maendeleo ya miundombinu kama barabara, shughuli za ugavi (logistics), uhamishaji au ubadilishanaji teknolojia na ukuzaji wa soko la ajira katika Afrika Mashariki.

Faida ingine nchi hizi itazopata ni FDI (foreign direct investimate) ambapo mauzo ya mafuta machafu yataleta fedha za kigeni moja kwa moja.

Fursa za kibiashara zitaongezeka kwani makampuni ya Tanzania na Uganda yatafaidika na shughuli mbalimbali zitoletwa na mradi kama ujenzi, ushauri wa kitaalam na zingine.

Hayo ni machache tu lakini faida ni nyingi kuliko kelele za mazingira ambazo zafadhiliwa na nchi zisizopenda maendeleo hayo.
 
We kweli hujitambui Magufuli anahusika vipi kwa kina Samia kuingia mikataba ya ovyo? Magufuli alizuia majizi yasifanyike yanayotaka ndio maana alipofariki wakishangilia sana.chini ya Magufuli asingekubali mikataba ya ovyo.
Unaweza kusoma nilichoandika? Nimesema huu ni mwendelezo wa mapungufu yake
 
Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwa sasa tumepata kiongozi anaiweza kutuvusha na kwamba demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora nayo sio issue ya msingi tumuache Jembe apige kazi.

Leo hii tunashuhudia matunda ya kutokuwa na Bunge lilichaguliwa na wananchi wakipitisha na wakibarikia mkataba wa kuwakabidhi Waarabu waendeshe bandari yetu haya yakiwa na matunda ya Bunge la Chama kimoja linalofanya kazi yake chini ya hii katiba mbovu inayotoa madaraka makubwa kwa Raisi wa nchi hii.

Maswali:

1. Mliokuwa mnaona sahihi Mwendazake kuminya demokrasia, leo hii mna haki ya kulalamikia yaliyofanywa na hili Bunge?

2. Thamani ya kiuchumi ya miradi aliyoianzisha Mwendazake, inaweza kufidia hasara ya kiuchumi itayotokana na kuwapa wageni waendeshe Bandari yetu iwapo mkataba huo utakuwa wa kimangungu?

3. Tungekuwa na uchaguzi huru, tungepata Bunge la kupitisha mikataba kama hii kirahisi kama ilivyotokea?

4. Je, bado mnaamini Mwendazake alikuwa sahihi katika misimamo yake?

5. Je, hamuoni kuwa Mwendazake alikuwa ni kiongozi asieona mbali?

6. Wafuasi wa Mwendazeke, bado hamuoni nchi hii inahitaji strong institutions na sio strong individuals?

7. Iwapo kweli Mkataba huu utakuwa mbovu kwa nchi yetu, baada ya Mama, mtu wa pili wa kulaumiwa katika hili la Bandari ni nani zaidi ya Mwendazake?

Endeleeni kupuuza madai ya katiba mpya mkifikiri mnawakomoa CHADEMA wakati huko majumbani mwenu mna watoto wadogo wataokuja kurithi hii nchi hapo baadae nyie mkiwa vikongwe au teyari marehemu.
Kumbe magufuli ndo Elienda Dubai kusain huu mkataba ata kama unatumia makalio kufikiri basi punguza basi unajiabisha
 
Magufuli ndo aliunda bunge lilio enda dubai kushuhudia hiyo compuni na atimaye kupitisha makubaliano ya mkataba, jitahidi kuondoa mahamba na jiwe, huyu jama kaharibu nchi yetu sanaa
 
Magufuli ni Mwalimu wao wa kuendesha nchi ambae awakumuelewa, kwa sababu ya wivu wao wa kazi zake.

Hila sasa wanajutia uongo wao, Magufuli akuwahi zuia habari kama wanavyomsingizia hila alitaka sheria ambayo ipo itumike kwenye kupotosha.

Aliingia madarakani magazeti yakiwa yanaweza andika mama ajifungua chatu huku yanachekewa na huko CDM kulikuwa kuna kiwanda cha kutunga uongo; kama kwenye ili sakata la IGA 99% ya mada za kwenye ili jukwaa ni kuto kuelewa ‘the law of contract’ hiyo ndio shida hasa kuhusiana na maswala ya FDI. Yeye akishaelewesha halafu ukaendelea kutunga uongo uwe ubalozi, chombo cha habari au mwanasiasa mtaelewana.

Kingine ni swala la mikutano ya hadhara it’s political etiquette nchi za wenzetu baada ya uchaguzi; kufunga mikutano ya hadhara mpaka kipindi cha campaign. Donald Trump achezi na rules hizo na vyombo vyao vya usalama vimeshamchoka. East Africa hasa Kenya na Tanzania hatuna ustaarabu huo; sisi tunataka mikutano ya hadhara kila siku ya mwaka for 5 years hilo ni tatizo.

Otherwise Magufuli was the best president ever in Sub-Sahara Africa.
Hawa walilipwa mara tu walipogundua kuwa hakuna kale kamchezo kale ka kudonoa keki hivyo wakaanza zogo.

Hata mimi nikiwa raisi wa Tanzania sitapenda upuuzi wa kudonoa keki kisha kuleta zogo kwani hawa wafanya ile kitu yaitwa distraction yaani kumvuruga mtu ili ama atoe maamuzi ya pupa au apoteze mwelekeo.

Huko kwa wenzetu (nchi ziloendelea) uchaguzi ukiisha (labda kama kuna zogo kama inosemwa ya 2020) vyama vyote huketi kuanza kazi ya kuimarisha uchumi , kushughulikia matatizo mengine ya ndani kama elimu, afya na elimu na hata uhamiaji ni "hot topic" huko nje.

Lakini ikifika muda wa uchaguzi kampeni huanza na vyama hushindana hoja mbalimbali na wapiga kura "electorate" hupima hoja na kuzichambua na baadae huandaa hata midahalo.

Lakini kwa Tanzania wanokifanya wapinzani uchwara na kinowafanya waonekana ni wa hovyo ni kuanza zogo, hakuna sera mbadala bali zogo tu la katiba mpya ambayo wapinzani hawahawa waelewa wazi kuwa hakuna hiyo kitu, katiba mpya na haitokuja kutokea chini ya utawala wa CCM.

Lakini chini ya CCM hiyohiyo hayati JPM alitaka nae apitishe mambo yake kinguvu jambo ambalo kwa upande wake alikuwa amepotoshwa na akakosea maana alizungukwa na watu wanafiki.

Nchi hii hata kama atatokea tena mtu mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kifikra ambae ana kundi lake nyuma lenye nguvu ni pale tu atapoamua kufanya maamuzi magumu ya kuleta katiba mpya.

Maamuzi hayo yataigharimu CCM "big time" lakini itakuwa kila mtu asema "to hell" twataka "new direction".

Baada ya hapo ni kuwaita wanojiita wapinzani wote ni kuwapa somo namna ya kukosoa kwa staha na kwa kutumia akili bila kutumia matukio na vibahasha vya akina Amsterdam.

Wapinzani pia watakiwa kutotegemea sana ruzuku ya serikali maana hiyo hutumika kama fimbo au kamba ya kuvuta ukionekana wavuka mstari mwekundu.

N antaweka wazi kabisa kwamba serikali yangu haina vibuyu vya asali.
 
Hawa walilipwa mara tu walipogundua kuwa hakuna kale kamchezo kale ka kudonoa keki hivyo wakaanza zogo.

Hata mimi nikiwa raisi wa Tanzania sitapenda upuuzi wa kwani hawa wafanya ile kitu yaitwa distraction yaani kumvuruga mtu ili ama atoe maamuzi ya pupa au apoteze mwelekeo.

Huko kwa wenzetu (nchi ziloendelea) uchaguzi ukiisha (labda kama kuna zogo kama inosemwa ya 2020) vyama vyote huketi kuanza kazi ya kuimarisha uchumi , kushughulikia matatizo mengine ya ndani kama elimu, afya na elimu na hata uhamiaji ni "hot topic" huko nje.

Lakini ikifika muda wa uchaguzi kampeni huanza na vyama hushindana hoja mbalimbali na wapiga kura "electorate" hupima hoja na kuzichambua na baadae huandaa hata midahalo.

Lakini kwa Tanzania wanokifanya wapinzani uchwara na kinowafanya waonekana ni wa hovyo ni kuanza zogo, hakuna sera mbadala bali zogo tu la katiba mpya ambayo wapinzani hawahawa waelewa wazi kuwa hakuna hiyo kitu, katiba mpya na haitokuja kutokea chini ya utawala wa CCM.

Lakini chini ya CCM hiyohiyo hayati JPM alitaka nae apitishe mambo yake kinguvu jambo ambalo kwa upande wake alikuwa amepotoshwa na akakosea maana alizungukwa na watu wanafiki.

Nchi hii hata kama atatokea tena mtu mwenye nia ya dhati ya kuleta mabadiliko ya kifikra ambae ana kundi lake nyuma lenye nguvu ni pale tu atapoamua kufanya maamuzi magumu ya kuleta katiba mpya.

Maamuzi hayo yataigharimu CCM "big time" lakini itakuwa kila mtu asema "to hell" twataka "new direction".

Baada ya hapo ni kuwaita wanojiita wapinzani wote ni kuwapa somo namna ya kukosoa kwa staha na kwa kutumia akili bila kutumia matukio na vibahasha vya akina Amsterdam.
Magufuli hakuwa perfect alikuwa na mapungufu yake, kikubwa zaidi alichowakera CCM ni kwenye kura ya maoni jinsi alivyokata watu.

Kingine ni kulewa mafanikio yake, ukiwa unafanya vitu mambo yanaenda in your favour unaanza kujiona kama god favourite child na kutaka kuwapangia watu hadi maamuzi yao, sakata la kuzuia chanjo lilikuwa ni kosa.

Vinginevyo alikuwa ni mtu jasiri na mwenye maono ambae amefanya mengi na kubadili tabia za udokozi serikalini na uwajibikaji kwa muda mfupi.

Shida ya upinzani hawana sera za maana wao wanasubiri matukio wayatumie kwenye upotoshaji. Sakata la IPTL Kikwete aliwaeleza zile sio hela za serikali ni za wabia (other wanatakiwa kulipa capital gain taxes). Lakini upotoshaji ni wizi haya walimkamata Rugemalila wamemuweka jela wee na kwenda mahakamani kila siku hakuna ushahidi mpaka wamemtoa.

Ndio kama hapa sasa kwenye ili sakata la IGA wamepotosha watu, serikali na bunge jana limetoa ufafanuzi bado tu; watu wamekazana na version zao. Magufuli anakwambia onyesha ulipotoa Hizo habari zako ukishindwa ndio utawajua wapambe wake.

Halafu watu wanataka wapewe mwaka mzima wa kutunga uongo, kuusambaza na kuipa serikali muda wa kujibu; badala ya kuangaika na shida za jamii na miradi ya maendeleo.

Huyu mama kakosea sana kurudi nyuma kwenye kurekebishana tabia, hatua ambazo mwenzake alikuwa kasogea nazo.
 
Hata upinzani ungekuepo bungeni hakuna kitu kingebadilika, walikuepo wakati ATCL, TTCL, TRL, bomba la Gas na hakuna kitu walizuia.

Walikuepo wakati wa Meremeta, Richmond, Dowans, Symbions, IPTL...zaidi ya makelele hakuna kitu kilibadilika or sent iliyorudi.
Walisaidia sana kujenga awareness kubwa kwa wananchi.

Kama sio wapinzani hii nchi ingekuwa bado inalala fofofo wasijue kinachoendelea
 
Magufuli ni Mwalimu wao wa kuendesha nchi ambae awakumuelewa, kwa sababu ya wivu wao wa kazi zake.

Hila sasa wanajutia uongo wao, Magufuli akuwahi zuia habari kama wanavyomsingizia hila alitaka sheria ambayo ipo itumike kwenye kupotosha.

Aliingia madarakani magazeti yakiwa yanaweza andika mama ajifungua chatu huku yanachekewa na huko CDM kulikuwa kuna kiwanda cha kutunga uongo; kama kwenye ili sakata la IGA 99% ya mada za kwenye ili jukwaa ni kuto kuelewa ‘the law of contract’ hiyo ndio shida hasa kuhusiana na maswala ya FDI. Yeye akishaelewesha halafu ukaendelea kutunga uongo uwe ubalozi, chombo cha habari au mwanasiasa mtaelewana.

Kingine ni swala la mikutano ya hadhara it’s political etiquette nchi za wenzetu baada ya uchaguzi; kufunga mikutano ya hadhara mpaka kipindi cha campaign. Donald Trump achezi na rules hizo na vyombo vyao vya usalama vimeshamchoka. East Africa hasa Kenya na Tanzania hatuna ustaarabu huo; sisi tunataka mikutano ya hadhara kila siku ya mwaka for 5 years hilo ni tatizo.

Otherwise Magufuli was the best president ever in Sub-Sahara Africa.
So Jiwe kwa maoni yako alikuwa shujaa kwako na familia yako?
 
Binafsi na support huo uwekezaji sehemu moja tu; jamaa wataenda maximise potential ya bandari na kuongeza volumes ya mizigo za nchi zinazotumia hiyo bandari kwa sababu wana hiyo expertise.

Vinginevyo mwamba alishaongeza kina cha kukaribisha meli yeyote hapo berth 1-7, alishawaagazia crane tatu za kisasa za kuanzia kazi na angekuwepo yote hayo wanayotaka kuwekeza DP World nina imani angeyafanya mwenyewe. Ila DP ukisoma vizuri unaona strategy yao ni kuona mbali zaidi kushinda ambavyo Magufuli angeona if you anything about operation planning.

Pamoja na Magufuli kuwafanyia yote hayo bado yasingekuwa mwarobaini kwa sababu watanzania hatuna uwezo wa kuendesha taasisi za biashara kwa ufanisi bado. ATCL kawapa kila kitu, kanunua ndege kwa hela za walipa kodi badala yao kwenda kununua kwa hire-purchase wenyewe.

Ndege kaziweka chini ya Ikulu apime uwezo wao kurudisha hela kama vile wanenunua hire-purchase awawezi lipa deni ata kwa mwaka mmoja tu. Ingekuwa wamenunua kiwandani zishachukuliwa, ila hawa wanataka wasamehewe deni na serikali la kununuliwa ndege; sasa ndio biashara gani hiyo.

Bandari inauwezo mkubwa lakini sio chini ya mikono ya watanzania na mwamba asingeshindwa huo uwekezaji.
 
Kumbe magufuli ndo Elienda Dubai kusain huu mkataba ata kama unatumia makalio kufikiri basi punguza basi unajiabisha
Wewe ni mfuasi kipofu wa Mwendazake ndio maana huoni makosa yake yanayotugharimu leo hii.
 
Anaye jiita tu father of Democracy (USA)....haifuati hiyo Democracy.

Ukweli unao umiza Democracy inachelewesha sana kufikia malengo.....kuna vitu kwenye Democracy ni vya mhimu kama haki za watu kuishi, usalama wao n.k ila sio kila kitu lazima Democracy itumike.

Nchi kubwa tu kama China haziifuati hiyo Democracy kwa sababu wanajua madhara yake ukiindekeza sana.
 
Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora nayo sio issue ya msingi tumuache Jembe apige kazi.

Leo hii tunashuhudia matunda ya kutokuwa na Bunge lilichaguliwa na wananchi wakipitisha na wakibarikia mkataba wa kuwakabidhi Waarabu waendeshe bandari yetu haya yakiwa na matunda ya Bunge la Chama kimoja linalofanya kazi yake chini ya hii katiba mbovu inayotoa madaraka makubwa kwa Raisi wa nchi hii.

Maswali:

1. Mliokuwa mnaona sahihi Mwendazake kuminya demokrasia, leo hii mna haki ya kulalamikia yaliyofanywa na hili Bunge?

2. Thamani ya kiuchumi ya miradi aliyoianzisha Mwendazake, inaweza kufidia hasara ya kiuchumi itayotokana na kuwapa wageni waendeshe Bandari yetu iwapo mkataba huo kweli utakuwa wa kimangungu?

3. Tungekuwa na uchaguzi huru, tungepata Bunge la kupitisha mikataba kama hii kirahisi kama ilivyotokea?

4. Je, bado mnaamini Mwendazake alikuwa sahihi katika misimamo yake?

5. Je, hamuoni kuwa Mwendazake alikuwa ni kiongozi asieona mbali?

6. Wafuasi wa Mwendazeke, bado hamuoni nchi hii inahitaji strong institutions na sio strong individuals?

7. Iwapo kweli Mkataba huu utakuwa mbovu kwa nchi yetu, baada ya Mama, mtu wa pili wa kulaumiwa katika hili la Bandari ni nani zaidi ya Mwendazake?

Endeleeni kupuuza madai ya katiba mpya mkifikiri mnawakomoa CHADEMA wakati huko majumbani mwenu mna watoto wadogo wataokuja kurithi hii nchi hapo baadae nyie mkiwa vikongwe au teyari marehemu.
Hivi kwenye hili mbona hammusemi Samia aliyeingia mkataba wa Kimangungo? Hamuoni kuwa bila yeye kuingia huu mkataba tusingekuwa tunazungumza haya?
 
Back
Top Bottom