Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

..hii hoja ni muhimu.

..tatizo ni baadhi ya wachangiaji kutoa madai na hoja za ki-propaganda.
Huko duniani marais wanapotembelea nchi nyingine huambatana na kundi la wafanyabiashara, labda na sisi tumeiga huo utamaduni.
 
Huko duniani marais wanapotembelea nchi nyingine huambatana na kundi la wafanyabiashara, labda na sisi tumeiga huo utamaduni.

..nakumbuka Obama alikuja Tz na wafanyabiashara.

..jambo la msingi ni kuhakikisha maslahi ya nchi yanazingatiwa.

..viongozi / wanasiasa wanapochangamana na wafanyabiashara ni lazima kuhakikisha sheria zinafuatwa, na maadili ya uongozi yanazingatiwa.
 
Sio vizuri kumsema marehemu asiyeweza kujitetea lakini Mengi alikuwa na matatizo. Akiitumia ITV kujitangaza kibiashara na akitumia uzawa kutaka apewe uendeshaji wa miradi mikubwa. Hakuwa perfect hayati Mengi.
 
Sio vizuri kumsema marehemu asiyeweza kujitetea lakini Mengi alikuwa na matatizo. Akiitumia ITV kujitangaza kibiashara na akitumia uzawa kutaka apewe uendeshaji wa miradi mikubwa. Hakuwa perfect hayati Mengi.

..marehemu waliokuwa makatili wasemwe tu.

..Na wahanga wa ukatili huo wafarijiwe.
 
O
JPM alijikita kutengeneza masikini wengi ili baadae wampe kura
Only zero brain can think and write that way.
Angalizo:
Weka timeline ya wewe kuwa tajiri kupitia Samia. Kama haiwezekani Basi uko kwenye ulimwengu wa Zero's and brain zero.
 
Uko sahihi kuna watu wenye ushawishi kwenye business community ndani nje

Rostam ndie mfanyabiara mkubwa mwenye ushawishi business community ya nje ya nchi ka Dangote alivyo Nigeria au Bill Gates kwenye nchi zao.

Kuna watu wana uwezo huo mfano Raisi Sam Nujoma aliwahi kuja Tanzania akataka kukutana na Mzee Bakheresa akawekeze Kwake Namibia atengeneze ajira nk Serikali wakataka akutane Nate ikulu akagoma akasema hilo swala zito sababu yeye mhitaji kumheshimu ataonana Naye nyumbani na alifanikuwa

Kodi kitu kikubwa kuna business man material kwenye jamii anayeheshimika kimataifa hata wahindi mfano wanayo Mukeshi Ambani .Huyo hata atue marekani Biden aweza Omba kuonana Nate.Kuna business men wako beyond borders kwa Tanzania wachache wa kwanza Rostam Azizi
 
Asante
 
Hili wala hakuna ubishi kama protocol za nchi zinafuatwa. Tatizo ni udalali unaojitokeza hata kupelekea hao kutengeneza syndicates za kuibia raia badala ya kunufaisha nchi na watu wake
 
Hujaeleza kitu wacha uhuni. Watz wanataka kujua rostam aziz kasaini nini mbele ya rais sio kuwaletea hadithi ya matajiri wa nchi zingine. Tunataka kujua kasaini nini. Hili tunataka tuelezwe.
Sio wanapanga mirichmond mingine.
 
Shida yako una akili ya kimaskini na kichawi! Muombe Mungu akuondolee hivyo vitu
Heri kuwa Maskini kuliko kutetea Wapijaji. Historia yao inajulikana dhahiri. Endelea na Uchawa na Ukunguni wake. That is the best possible you can do.
 
Tanesco tunaambiwa inatakiwa kuilipa Symbion TZS. 350bn. Najua kuna mkono wa Wafanyabiashara kwenye hiyo Kampuni kama Shareholders then tunakenua meno kutetea Wapigaji...
 
Tanesco tunaambiwa inatakiwa kuilipa Symbion TZS. 350bn. Najua kuna mkono wa Wafanyabiashara kwenye hiyo Kampuni kama Shareholders then tunakenua meno kutetea Wapigaji...
Unahangauka wakati hata Kodi hulipi na huna Cha kulipa baada ya jpm kukufanya machinga licha ya masters yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…