Kwani mashemeji wa Ramaphosa ni lazima au wote ni matajiri!?Kwani Motsepe kaanza kuwa tajiri kipindi cha Ramaphosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mashemeji wa Ramaphosa ni lazima au wote ni matajiri!?Kwani Motsepe kaanza kuwa tajiri kipindi cha Ramaphosa?
Huko duniani marais wanapotembelea nchi nyingine huambatana na kundi la wafanyabiashara, labda na sisi tumeiga huo utamaduni...hii hoja ni muhimu.
..tatizo ni baadhi ya wachangiaji kutoa madai na hoja za ki-propaganda.
Huko duniani marais wanapotembelea nchi nyingine huambatana na kundi la wafanyabiashara, labda na sisi tumeiga huo utamaduni.
Sio vizuri kumsema marehemu asiyeweza kujitetea lakini Mengi alikuwa na matatizo. Akiitumia ITV kujitangaza kibiashara na akitumia uzawa kutaka apewe uendeshaji wa miradi mikubwa. Hakuwa perfect hayati Mengi.Pengine ulikuwa hujazaliwa lakini nyie msio kuwa na akili mnadhani anawasaidia kumbe he is capitalizing on your dumbness.
Rostam is a crook. Nendeni U-Tube mkamsikilize marehemu Mengi alivyowaumbua Hawa wezi.
Halafu mnaIona connection ya Rostam, waziri wa kilimo Bashe na hizo fedha Hangaya alizomdhamini Rostam zinazokwenda kilimo kusimamiwa na mtoto wa Rostam ; Hussein Bashe?
AMKENI SIO SHWARI TENA.
Kawa tajiri kipindi Cha ramaphosa!?Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
Sio vizuri kumsema marehemu asiyeweza kujitetea lakini Mengi alikuwa na matatizo. Akiitumia ITV kujitangaza kibiashara na akitumia uzawa kutaka apewe uendeshaji wa miradi mikubwa. Hakuwa perfect hayati Mengi.
Babu zake walianza biashara tabora zaidi ya miaka 150 iliyopita,kipindi hicho babu zako wanarina asali na kuwinda digidigi,usimuonee wivuHuyu ni mwizi mwizi
Motsepe katajirika hata kabla Ramaphosa hajawa Rais!Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
Duh,Swali kuntu👍Kwani Motsepe kaanza kuwa tajiri kipindi cha Ramaphosa?
Tajiri hakai jamii forums, mawazo ya jamii forums hayana kanuni za kitajiriShida yako una akili ya kimaskini na kichawi! Muombe Mungu akuondolee hivyo vitu
Only zero brain can think and write that way.JPM alijikita kutengeneza masikini wengi ili baadae wampe kura
AsanteUko sahihi kuna watu wenye ushawishi kwenye business community ndani nje
Rostam ndie mfanyabiara mkubwa mwenye ushawishi business community ya nje ya nchi ka Dangote alivyo Nigeria au Bill Gates kwenye nchi zao.
Kuna watu wana uwezo huo mfano Raisi Sam Nujoma aliwahi kuja Tanzania akataka kukutana na Mzee Bakheresa akawekeze Kwake Namibia atengeneze ajira nk Serikali wakataka akutane Nate ikulu akagoma akasema hilo swala zito sababu yeye mhitaji kumheshimu ataonana Naye nyumbani na alifanikuwa
Kodi kitu kikubwa kuna business man material kwenye jamii anayeheshimika kimataifa hata wahindi mfano wanayo Mukeshi Ambani .Huyo hata atue marekani Biden aweza Omba kuonana Nate.Kuna business men wako beyond borders kwa Tanzania wachache wa kwanza Rostam Azizi
Hili wala hakuna ubishi kama protocol za nchi zinafuatwa. Tatizo ni udalali unaojitokeza hata kupelekea hao kutengeneza syndicates za kuibia raia badala ya kunufaisha nchi na watu wakeUko sahihi kuna watu wenye ushawishi kwenye business community ndani nje
Rostam ndie mfanyabiara mkubwa mwenye ushawishi business community ya nje ya nchi ka Dangote alivyo Nigeria au Bill Gates kwenye nchi zao.
Kuna watu wana uwezo huo mfano Raisi Sam Nujoma aliwahi kuja Tanzania akataka kukutana na Mzee Bakheresa akawekeze Kwake Namibia atengeneze ajira nk Serikali wakataka akutane Nate ikulu akagoma akasema hilo swala zito sababu yeye mhitaji kumheshimu ataonana Naye nyumbani na alifanikuwa
Kodi kitu kikubwa kuna business man material kwenye jamii anayeheshimika kimataifa hata wahindi mfano wanayo Mukeshi Ambani .Huyo hata atue marekani Biden aweza Omba kuonana Nate.Kuna business men wako beyond borders kwa Tanzania wachache wa kwanza Rostam Azizi
Hujaeleza kitu wacha uhuni. Watz wanataka kujua rostam aziz kasaini nini mbele ya rais sio kuwaletea hadithi ya matajiri wa nchi zingine. Tunataka kujua kasaini nini. Hili tunataka tuelezwe.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Heri kuwa Maskini kuliko kutetea Wapijaji. Historia yao inajulikana dhahiri. Endelea na Uchawa na Ukunguni wake. That is the best possible you can do.Shida yako una akili ya kimaskini na kichawi! Muombe Mungu akuondolee hivyo vitu
Muuza Magazeti tu huyo Mitaa ya Lumumba...Tajiri hakai jamii forums, mawazo ya jamii forums hayana kanuni za kitajiri
Utabaki na umaskini wako kwa kudhani umelogwa kumbe akili yako ndo finyu kwa kudhani umaskini ni sifa Kama alivyowahubiria shetani wa chatoWapigaji tu
Unahangauka wakati hata Kodi hulipi na huna Cha kulipa baada ya jpm kukufanya machinga licha ya masters yakoTanesco tunaambiwa inatakiwa kuilipa Symbion TZS. 350bn. Najua kuna mkono wa Wafanyabiashara kwenye hiyo Kampuni kama Shareholders then tunakenua meno kutetea Wapigaji...