Aliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??U
Utabaki na umaskini wako kwa kudhani umelogwa kumbe akili yako ndo finyu kwa kudhani umaskini ni sifa Kama alivyowahubiria shetani wa chato
Naweza kukulisha wewe na Vitukuu vyako...Unahangauka wakati hata Kodi hulipi na huna Cha kulipa baada ya jpm kukufanya machinga licha ya masters yako
Wewe ndio unahangaika kwa UchawaUnahangauka wakati hata Kodi hulipi na huna Cha kulipa baada ya jpm kukufanya machinga licha ya masters yako
Hata yesu alilaani maskini na umaskini wao maana hawana contribution yoyote Kama tithe zaidi ya kuendeleza uchawiAliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??
Thubutu?Naweza kukulisha wewe na Vitukuu vyako...
akili za kimaskini na utabaki hivyo maisha yakoHuyu ni mwizi mwizi
Mbona jpm aliwahubilia uongo na nyinyi mkakubali kwamba Tanzania is one of the richest countries in the world. Leo unamkanaAliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??
Duh !Rostam Aziz ndiye aliyekuwa Archtect wa wizi wa fedha kule BoT enzi ya Mkapa wakati huo marehemu Daudi Balali akiwa Gavana. Alifanikisha mpango wake kwa kumuingia Rais Mkapa nakuwa karibu nae kwa kumtumia aliyekuwa Balozi Ruhinda . Amefanikiwa kumuingia Samia kwa kupitia Kikwete hivyo tutegemee ufisadi mkubwa!
Hela yote ya uchaguzi mkuu 2025 itaibwa Kutoka serikalini na kumpelekea ccm kupitia makampuni ya Rostam.
Hakuna shida ila kwa nn ccm haiwezi kutengeneza wazawa weusi kuwa mabilionea? Kwa sasa matajiri 10 wa mwanzo tz wote watakuwa wahindi au waarabu.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Mchonga meno alifilisi nchi na Ujamaa wake. Hakuelewa uchumi unaendeshwaje. Unapoanza maisha kuwa mwalimu halafu unaingia kwenye siasa, unakosa uzoefu wa kujua sekta binafsi, biashara zinaendeshwaje. Mpaka leo nchi hii inaumizwa na mfumo mbovu wa Ujamaa.
Richest in natural resources ofcourse !! Nani anabisha ??Mbona jpm aliwahubilia uongo na nyinyi mkakubali kwamba Tanzania is one of the richest countries in the world. Leo unamkana
Mimi nabisha. Tanzania Ina assets tu na siyo minerals.Richest in natural resources ofcourse !! Nani anabisha ??
Ni kweli madini yote yaliyokuwa yakichimbwa yalikuwa yakichukuliwa yote na kuachiwa asilimia tatu pekee kwa Nchi kutokana na mikataba mibovu iliyofanywa na wakubwa kabla ya JPM !!Mimi nabisha. Tanzania Ina assets tu na siyo minerals.
HaahahaMuuza Magazeti tu huyo Mitaa ya Lumumba...
Mchonga meno alifilisi nchi na Ujamaa wake. Hakuelewa uchumi unaendeshwaje. Unapoanza maisha kuwa mwalimu halafu unaingia kwenye siasa, unakosa uzoefu wa kujua sekta binafsi, biashara zinaendeshwaje. Mpaka leo nchi hii inaumizwa na mfumo mbovu wa Ujamaa.
A Tanzanian oligarchy. Oligarchies never do for the country, but for private gains.Wapigaji tu
Wewe mlambe tu huyo gabachori wakoakili za kimaskini na utabaki hivyo maisha yako
Kaondoa matabaka, kaongeza umaskini. Sasa faida gani?Ungependelea kuiona Tanzania yenye RAIA wa tabaka mbili za Mabwana na Watwana !! Au siyo ???!!!