Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

U

Utabaki na umaskini wako kwa kudhani umelogwa kumbe akili yako ndo finyu kwa kudhani umaskini ni sifa Kama alivyowahubiria shetani wa chato
Aliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??
 
Aliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??
Hata yesu alilaani maskini na umaskini wao maana hawana contribution yoyote Kama tithe zaidi ya kuendeleza uchawi
 
Aliyekwambia Umaskini ni dhambi nani? Tunaambiwa Nchi yetu pendwa Tanzania ni one of the Poorest Countries in the World. Mbona hujajinyonga sasa??
Mbona jpm aliwahubilia uongo na nyinyi mkakubali kwamba Tanzania is one of the richest countries in the world. Leo unamkana
 
Rostam Aziz ndiye aliyekuwa Archtect wa wizi wa fedha kule BoT enzi ya Mkapa wakati huo marehemu Daudi Balali akiwa Gavana. Alifanikisha mpango wake kwa kumuingia Rais Mkapa nakuwa karibu nae kwa kumtumia aliyekuwa Balozi Ruhinda . Amefanikiwa kumuingia Samia kwa kupitia Kikwete hivyo tutegemee ufisadi mkubwa!
Hela yote ya uchaguzi mkuu 2025 itaibwa Kutoka serikalini na kumpelekea ccm kupitia makampuni ya Rostam.
Duh !
 
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!

Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji

Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas

Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini

Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa

Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu

Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea

Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi

Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.

Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi


View attachment 2207616
Hakuna shida ila kwa nn ccm haiwezi kutengeneza wazawa weusi kuwa mabilionea? Kwa sasa matajiri 10 wa mwanzo tz wote watakuwa wahindi au waarabu.

Rest in peace Idd Simba au Mtikila
 
Ni wivu tu. Siyo Rostam Aziz aliyefanya wewe uwe maskini. Halafu kumbuka tukiwa maskini wote (Au Wanyonge kwa lugha ya Magufuli), ni nani atatupa ajira?

Rostam kanunua Tigo, ana toa ajira kwa watanzania wengine na kulipa kodi. Sasa anamshawishi mkulima mkubwa aje a mechanise kilimo chetu. Matokeo yake tutapata mazao, tutatengeneza ajira nyingi, atalipa kodi, ata export mazao hayo hadi Ulaya na America.

Nchi yetu Ina ardhi yenye rutuba ambayo mazao ya aina zote yanastawi. Wewe Lutifya umeifanyia nini hii ardhi zaidi ya kuikojolea na kuinyea tu?

Acheni mizaha kwenye uwekezaji
 
Mimi nabisha. Tanzania Ina assets tu na siyo minerals.
Ni kweli madini yote yaliyokuwa yakichimbwa yalikuwa yakichukuliwa yote na kuachiwa asilimia tatu pekee kwa Nchi kutokana na mikataba mibovu iliyofanywa na wakubwa kabla ya JPM !!
 
Ungependelea kuiona Tanzania yenye RAIA wa tabaka mbili za Mabwana na Watwana !! Au siyo ???!!!
Mchonga meno alifilisi nchi na Ujamaa wake. Hakuelewa uchumi unaendeshwaje. Unapoanza maisha kuwa mwalimu halafu unaingia kwenye siasa, unakosa uzoefu wa kujua sekta binafsi, biashara zinaendeshwaje. Mpaka leo nchi hii inaumizwa na mfumo mbovu wa Ujamaa.
 
Back
Top Bottom