Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Ukiongea kitajiri hvi wengi hawatakuelewa humu...

Masikini siku zote wana lugha zao na lawama kibao wakiamini kila tajiri anawaibia...
 
Na ndio maana mlishaambiwa kwamba nendeni kwa Ground mkajionee jinsi watu walivyommiss mwendazake !! Acheni kubwabwaja nyuma ya keyboards zenu ! !!
Warudi huko vijijini wakaendeleze kazi, enzi za mwendazake vijana walikimbilia mijini wakajenga mavibanda machafu penbezoni mwa barabara na juu ya mitaro ya maji machafu humohumo ndo wanalala, nguvu kazi vijijini ikapungua, wameacha wazee vijijini nani alone azalishe vyakula Sasa. Waache uvivu warudi vijijini wakachape kazi. Na hiyo ndo namna nzuri ya kumuenzi mpendwa wao. Wakachape kazi kweli kweli

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
Unafikiri utajiri wa Motsepe ni wa tender kama wa kina Mayanga. Au unafikiri amekuwa millionaire baada ya CR kuwa Rais....!!
 
IMG-20230627-WA0002.jpg


Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatukuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
 
Hii nchi haina kiongozi, hakika tunajiendea tu, halafu akiambiwa anajibu kwamba yeye anaziba masikio anafanya kazi kutuletea maendeleo.

Kumbe kazi zenyewe kimsingi wala hafanyi yeye, wapo wajanja ambao wanazifanya kwa manufaa yao kwa niaba yake, wakati huo yeye akiwa ameweka maslahi ya Tanganyika pembeni kwa muda.

Ndio maana jana Rostam amekurupuka kumjibu Dr. Slaa, ambapo kimsingi hata hakuna la maana alilojibu, zaidi ya kujitoa mhanga kumlinda huyo "body guard" wake hapo pichani anayeshuhudia bosi akitia saini..
 
Back
Top Bottom