Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Tusiwachukie matajiri, tuwaache wafanye kazi, watengeneze ajira na kuongeza fursa kwa vijana wanaojituma; inapendeza sana kiulimwengu, kuthibitisha tuna watu 'potential' wanaoweza kusaini makubaliano na nchi kubwa kama US.

Muhimu ni taarifa tu.

Nb: Masikini hawezi kutoa ajira zaidi ya kuajiriwa tu, ila tajiri anatoa ajira kwa masikini.​
 
Mikataba binafsi ni siri baina ya wahusika, acheni speculations nyie waswahili.
Unakiri Rais anafanya biashara akiwa ikulu.

Una hakika hatumii nafasi yake kama mkuu wa nchi kujinufaisha binafsi kwenye hayo makuballiano ya siri?

Kutokana na usiri wa hilo jambo, naamini ametumia nafasi yake kama mkuu wa nchi kujinufaisha binafsi.
 
Mikataba ya kibiashara binafsi kati ya mfanya biashara wa Tanzania na mfanyabiashara wa marekeni.
 
View attachment 2670181

Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
Mbona hata marais wa mataifa hayo ya G7 wanafanya ziara na kuambatana na jumuiya ya wafabyabiashara wakubwa wa sekta binafsi na mikataba ya kibiashara kati ya sekta binafsi inasainiwa ktk ziara zao?

Kwa nini tuhoji Mhe. Rais wetu kushuhudia utiaji saini wa mfanyabiashara mkubwa wa private sector na mwenzake wa sekta binafsi. Sekta binafsi zinawekewa mazingira mazuri na serikali. What's the news?

🙏🙏🙏🙏
 
Oooh! Hoooo!
FB_IMG_16878398542923904.jpg
 
Back
Top Bottom