Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mikataba binafsi ni siri baina ya wahusika, acheni speculations nyie waswahili.View attachment 2670181
Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA.
Hatuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza