Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Kweli kabisa! Lazima tuwe na matajiri wengi watakaohamasisha uwekezaji, kutengeneza ajira na kuiuza uchumi
 
Endelea kuishi kwa nadharia! Hizo stori za kutunga umepata kwenye kijiwe gani cha kahawa?
 
Sas
Sasa uwekezaji ni kupitia Bank ya Maendeleo Afrika unataka kuniambia hii bank inaoperate Marekani?
 
JPM alijikita kutengeneza masikini wengi ili baadae wampe kura
Kwa mara ya kwanza umesema ukweli.

Magufuli alisema kwamba yeye ni Rais wa Maskini. Ili aendelee kuwa Rais na kuungwa mkono na watu wengi, alijitahidi sana kitengeneza maskini wengi kadiri alivyoweza.

Kuna jambo moja kubwa alikuwa halisemi. Yeye alikuwa ni Rais wa maskini wa kichwani, na alifanikiwa kwa kiasi fulani, ndiyo maana, pamoja na Magufuli kufanya uovu mwingi, bado mpaka sasa watu aliowatengeneza kwenye kundi lile la maskini wa akili, wanaendelea kumsifia.
 
Ni leo unatambua hizi nchi ni kwa ajili ya matajiri na ni mali ya matajiri?its up to you to make your way up to the top and dine with the best,

Hizi nchi tunaziona zilikuwa na utawala wake wa mtu mmoja (Monarchies) na hata USA kuna states zaidi ya 50 ambazo zilijiunga kuifanya marekani ya sasa, baada ya kukuwa na matajiri na watu wenye influence katika hizo jamii zao wakaamua waanze ku share cake, ndipo ikaja democracy. Pick a country ambayo imeendelea uangalie chimbuko lake, utashangaa ni damu zimemwagika

We need akina rostam azizi milioni moja hapa Tanzania kukaa mezani na wakubwa huko nje, trust me hatutaweza kuwapata kwa kufuata njia halali itabidi tutapeliwe, tuibiwe na tusipige kelele. Kitu ambacho hakiwezekani.
 
Kweli kabisa! Lazima tuwe na matajiri wengi watakaohamasisha uwekezaji, kutengeneza ajira na kuiuza uchumi
Exactly!!! Haya mambo ya kujifakharisha umasikini na kumwona mwizi kila mwenye nazo ni ufukara wa akili ambao ni mbaya kuliko kuliko hata umasikini wa kukosa hela!!!!

Wakati wa RAIS wangu mpendwa Dr. Magufuli alimteua mwenyekiti wa board flani siikumbuki na kukupongeza kwa kujenga kiwanda cha ngozi Morogoro.... meaning he was In the clean sheet as per President Standards, wewe unayemwita mwizi itabidi ujifikirie mara mbili..
 
Shida kubwa ni kwamba umepewa akili ya kimaskini!

Tupe ushahidi wa nchi kuuzwa? Imeuzwa kwa Nani kwa mkataba upi na shs ngapi?
Ipi bora akili ya kimasikini kwa kufanywa masikini na maharamia na kubakia na utu wako au kutumika hadi kushikishwa ukuta na maharamia.
 
Vipi kuhusu Mo yeye hayupo kwenye list ya mama?

Au kaachwa kwanza ambapanie ubingwa wa npl??
 
Ukitaka kujua historia ya Rostam tafta wastaafu wa enzi zile jamaa bado kijana anafanya biashara ya Ngozi na Kiwanda cha Ngozi Mwanza(Tanaries).

Jamaa kaanza ufisadi enzi za Mwinyi now anafanya kumalizia tu.

He has been corrupted for a long time.
 
Endelea kuishi kwa nadharia! Hizo stori za kutunga umepata kwenye kijiwe gani cha kahawa?
Pengine ulikuwa hujazaliwa lakini nyie msio kuwa na akili mnadhani anawasaidia kumbe he is capitalizing on your dumbness.
Rostam is a crook. Nendeni U-Tube mkamsikilize marehemu Mengi alivyowaumbua Hawa wezi.
Halafu mnaIona connection ya Rostam, waziri wa kilimo Bashe na hizo fedha Hangaya alizomdhamini Rostam zinazokwenda kilimo kusimamiwa na mtoto wa Rostam ; Hussein Bashe?
AMKENI SIO SHWARI TENA.
 
Dangote ndiye wa kwanza kujenga refinery plant katika Africa?

Anyway niliwahi kusikia Kigamboni ya hapahapa Dsm kuna refinery plant Tanzania Italian Petroleum A...... (TIPER).
 
Ipi bora akili ya kimasikini kwa kufanywa masikini na maharamia na kubakia na utu wako au kutumika hadi kushikishwa ukuta na maharamia.
Mkuu unaweza ukawa sahihi, lakini huna namna huna la kumfanya. Kilichopo ni kuungana nao tu maana huna njia nyingine.
Ukiona wanaiba nawe iba. Mwisho wa siku watoto wetu ndio watalipia.
 
Sas

Sasa uwekezaji ni kupitia Bank ya Maendeleo Afrika unataka kuniambia hii bank inaoperate Marekani?
Hoja yako ni ipi hasa? Icho kikao na Hiyo bank kimefanyika marekani! Au hujui?
 
Mtoto mdogo wewe hujui kitu.

Sikiliza maelezo ya wakubwa pale juu.

Hilo limtu ni wakala wa CIA. Na si ajabu ni wakala wa KUZIMU pia.
Izo stori ya vijiwe vyako vya kahawa havina nafasi kwangu
 
Nimezaliwa 1980! Kipi sijakiona? Tupe ushahidi wa huo wizi wa Rostam

Tanzania hatuna shida ya hela na Mali kusimamiwa na nani! Sie tunataka ajira, kodi na Uchumi kukua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…