Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Rostam Aziz ndiye aliyekuwa Archtect wa wizi wa fedha kule BoT enzi ya Mkapa wakati huo marehemu Daudi Balali akiwa Gavana. Alifanikisha mpango wake kwa kumuingia Rais Mkapa nakuwa karibu nae kwa kumtumia aliyekuwa Balozi Ruhinda . Amefanikiwa kumuingia Samia kwa kupitia Kikwete hivyo tutegemee ufisadi mkubwa!
Hela yote ya uchaguzi mkuu 2025 itaibwa Kutoka serikalini na kumpelekea ccm kupitia makampuni ya Rostam.
Na hapa alimuingia Kibwengo magufuli kupitia Nani?

👇👇👇

1651421718852.png
 
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!

Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji

Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas

Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini

Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa

Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu

Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea

Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi

Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.

Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuiba dili haraka sana Tanzania kiuchumi

View attachment 2207616
Jee, ni kweli Mtanzania kufanya kazi nzuri ya kushawishi uwekezaji nchini kwa kupitia African Development Bank ilibidi Mtanzania huyo aende Marekani, na kwa siku zote hizo? Hebu tujuze vizuri ilivyokuwa.
 
Rostam ni mpiga dili tu, na mwenye kujipenyeza penye utawala uliojaa wapiga dili!

Tujitahidi kudai katiba mpya ili tuepuke mabilionea wapiga dili wanaoishia kuumiza walio wengi ili kujineemesha
 
Kabla sijakujibu nieleze tu! Umeshawai safiri nje ya Geita?
 
Rostam ni mpiga dili tu, na mwenye kujipenyeza penye utawala uliojaa wapiga dili!

Tujitahidi kudai katiba mpya ili tuepuke mabilionea wapiga dili wanaoishia kuumiza walio wengi ili kujineemesha
Tupe ushahidi wa upigaji wa Rostam! Aliwai fungwa na mahakama ipi?
 
Hata ukifoka kama ng'ombe haisaidii.

Rostam ni jizi la kawaida sana kama majizi mengine madogo madogo.

Ni kibwengo kama vibwengo wengine wanaotumikia mashetani ya CIA.
Acha kelele dogo! Weka uthibitisho wa wizi wa Rostam na kutumika kwake na CIA
 
Sisi watanzania tunashida Sana mtu unasifia mhindi eti ni tajiri wa Tanzania kweli? Alafu unataja mabilionea wa nchi nyingine ambao wao ni asili kabisa sio kanjibai kama huyu rostam alafu umekalisha kende kusubiri maendeleo? Ama kweli alietuloga kafa
 
Nimezaliwa 1980! Kipi sijakiona? Tupe ushahidi wa huo wizi wa Rostam

Tanzania hatuna shida ya hela na Mali kusimamiwa na nani! Sie tunataka ajira, kodi na Uchumi kukua!
Hata kama ulizaliwa wakati huo umekuwa huoni wala kufikiri kwasababu ya kulemazwa na UCHAWA!
Uchumi hauwezi kukua kwa Hawa wanao chuma Tanzania na kuwekeza DUBAI ! Usijidanganye. Uchumi wetu utakuwa tukiwa na wawekezaji wa kweli wanao rudisha faida kwa kuwekeza humu humu nchini badala ya kuficha nje kama wakina MO!
 
Sisi watanzania tunashida Sana mtu unasifia mhindi eti ni tajiri wa Tanzania kweli? Alafu unataja mabilionea wa nchi nyingine ambao wao ni asili kabisa sio kanjibai kama huyu rostam alafu umekalisha kende kusubiri maendeleo? Ama kweli alietuloga kafa
Wewe ndo Nyerere aliwaita makabulu! Una uthibitisho wa uhindi wa Rostam?

Kwa iyo waarabu wote wa Tabora, shinyanga na Sumbawanga sio Watanzania?
 
Hata kama ulizaliwa wakati huo umekuwa huoni wala kufikiri kwasababu ya kulemazwa na UCHAWA!
Uchumi hauwezi kukua kwa Hawa wanao chuma Tanzania na kuwekeza DUBAI ! Usijidanganye. Uchumi wetu utakuwa tukiwa na wawekezaji wa kweli wanao rudisha faida kwa kuwekeza humu humu nchini badala ya kuficha nje kama wakina MO!
Taifa Gas ipo Dubai? Tigo ipo Dubai? Zantel ipo Dubai? Caspian ipo Dubai?

Samahani au nikuulize tu! Umeishia darasa la ngapi?
 
Hata kama ulizaliwa wakati huo umekuwa huoni wala kufikiri kwasababu ya kulemazwa na UCHAWA!
Uchumi hauwezi kukua kwa Hawa wanao chuma Tanzania na kuwekeza DUBAI ! Usijidanganye. Uchumi wetu utakuwa tukiwa na wawekezaji wa kweli wanao rudisha faida kwa kuwekeza humu humu nchini badala ya kuficha nje kama wakina MO!
Huyu paka anategemea kanjibay amletee maendeleo jinga kabisa hili
 
Utafoka sana na hayo mavibwengo yako yanayotumikia mashetani.

Hizi sio zama za kale.
Acha kelele dogo! Tupe uthibitisho!

Kama huna Nenda kanisani au msikitini ukaombewe roho na akili za Kumasi kuni na kichawi zikutoke
 
Wewe ndo Nyerere aliwaita makabulu! Una uthibitisho wa uhindi wa Rostam?

Kwa iyo waarabu wote wa Tabora, shinyanga na Sumbawanga sio Watanzania?
Wewe mjinga wapi uliwahi kusikia mtanzania mwenye asili ya India? Au Iran au china? Huko shule ulienda kusoma ujinga?
 
Back
Top Bottom