greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Rostam ni kibaka kama familia ya kikwete FULLSTOP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagghuna akili, motsepe ameanza ujasiriamali enzi za ramaphosa?
Amefungua kiwanda cha ngozi Morogoro 2021. Ana viwanda vingi piaHizo benki zinaelekeza kwenye kilimo badala ya kuweka focus kwenye viwanda pia. Tukikazana kwenye kilimo tutaendelea kuwanufaisha wazungu kwa kuwatayarishia malighafi kwa viwanda vyao.
Dunia ya wenye akili unaongea na kuweka uthibitisho! Zaidi hizo ni ngonjera tu zinazoongozwa na roho za kimaskini, husda na chukiRostam ni kibaka kama familia ya kikwete FULLSTOP
Hata CCM wenyewe wanamjua,unajua kwanini alijiuzuru ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM enzi za jk?hawa ndio walivuliwa magamba kwasababu ya ufisadi, kamulize Nape na Kinana ndio walikuwa wanatutangazia kuhusu ufisadi wa Lostam, Lowassa na Chenge,wewe naona ni mtoto wa juziAliwai kukupa uthibitisho? Kwani mengi ndo uthibitisho?
Unataka ushahidi gani wewe bwabwa? Huyu amehujumu viwanda vyetu vya ngozi halafu unataka ushahidi? Hata sijui kama alimazia deni la kununua vile viwanda PSRC?Tupe ushahidi tu! Acha maneno
Kwani kuna shida ukiweka uthibitisho hapa!Unataka ushahidi gani wewe bwabwa? Huyu amehujumu viwanda vyetu vya ngozi halafu unataka ushahidi? Hata sijui kama alimazia deni la kununua vile viwanda PSRC?
Kamnunua yeye pamoja na serikali yake. Muda si muda hata nyinyi vichawa vidogodogo mtakuwa chini ya Rostam.Amejisalimishaje?
Alivyojiuzuru alisema sababu ni ufisadi?Hata CCM wenyewe wanamjua,unajua kwanini alijiuzuru ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM enzi za jk?hawa ndio walivuliwa magamba kwasababu ya ufisadi, kamulize Nape na Kinana ndio walikuwa wanatutangazia kuhusu ufisadi wa Lostam, Lowassa na Chenge,wewe naona ni mtoto wa juzi
Kamnunua shilingi ngapi? Tupe ushahidiKamnunua yeye pamoja na serikali yake. Muda si muda hata nyinyi vichawa vidogodogo mtakuwa chini ya Rostam.
Kwani wewe Serikali imekuzuia kuwa tajiri?Matajiri wa mchongo. Matajiri wa Marekani hawatengezwi na state. Wanatumia fursa za kiuchumi zilizopo kupata utajiri. Hivyo utajiri wao unakuwa HURU usio na mafungamano yoyote na tawala/siasa za serikali husika.
Matajiri wa Russia ni matajiri wa state (mchongo) wakihusishwa na Putin. Hii inaleta chuki Kwa wapinzani wa kisiasa wa Putin na kuwafanya waishi kwa wasiwasi mf. Roman hivi sasa
So Rostam anakuwa bilionea ambae ni zao la watawala Iko siku atakosa Raha huko mbele kama Roman.
Ni vema serikali itengeneze fursa sawa na huru matajiri watajizalisha wenyewe Kwa jinsi Kila mmoja ataweza ku penetrate sokoni. Hawa wa mchongo Huwa hawavutii kuitwa mabilionea.
Udhibitisho hupi unauitaji wakati akina Nape na Kinana waliiwahi kumvua gamba kwasababu ya ufisadi papa,aliacha ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM,wala hakukana kuwa hajawai kuwa fisadi PapaDunia ya wenye akili unaongea na kuweka uthibitisho! Zaidi hizo ni ngonjera tu zinazoongozwa na roho za kimaskini, husda na chuki
Unaelewa ulichoandika. Hongera zako.Matajiri wa mchongo. Matajiri wa Marekani hawatengezwi na state. Wanatumia fursa za kiuchumi zilizopo kupata utajiri. Hivyo utajiri wao unakuwa HURU usio na mafungamano yoyote na tawala/siasa za serikali husika.
Matajiri wa Russia ni matajiri wa state (mchongo) wakihusishwa na Putin. Hii inaleta chuki Kwa wapinzani wa kisiasa wa Putin na kuwafanya waishi kwa wasiwasi mf. Roman hivi sasa
So Rostam anakuwa bilionea ambae ni zao la watawala Iko siku atakosa Raha huko mbele kama Roman.
Ni vema serikali itengeneze fursa sawa na huru matajiri watajizalisha wenyewe Kwa jinsi Kila mmoja ataweza ku penetrate sokoni. Hawa wa mchongo Huwa hawavutii kuitwa mabilionea.
Walimvuaje gamba?Udhibitisho hupi unauitaji wakati akina Nape na Kinana waliiwahi kumvua gamba kwasababu ya ufisadi papa,aliacha ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM,wala hakukana kuwa hajawai kuwa fisadi Papa
Nasubiri uthibitisho wakoUnaelewa ulichoandika. Hongera zako.
Inatosha na mtu kama wewe.Kamnunua shilingi ngapi? Tupe ushahidi
Motsepe amekuwa tycoon mwenye connections nyingi kabla Ramaphosa hajarejea kwenye siasa.Hivi unajua huyu jamaa Motsepe ni shemeji yake Ramaphosa..........Shemeji utaninyima Tender?
Sasa wewe uliona anapinga kuwa nasingiziwa sio fisadi? Lostam alitajwa na Mengi akukana katajwa na Slaa kwenye list ya mafisadi Papa nchini tena adharani wala hakukana, akina Nape na Kinana waliiwahi kumtaja, mpaka akatema ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM,wala hakukana,sasa unataka ushaidi hupi zaidi ya huo,?Alivyojiuzuru alisema sababu ni ufisadi?
Kutajwa ndo uthibitisho?Sasa wewe uliona anapinga kuwa nasingiziwa sio fisadi? Lostam alitajwa na Mengi akukana katajwa na Slaa kwenye list ya mafisadi Papa nchini tena adharani wala hakukana, akina Nape na Kinana waliiwahi kumtaja, mpaka akatema ubunge na nyadhifa zote ndani ya CCM,wala hakukana,sasa unataka ushaidi hupi zaidi ya huo,?