Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Mambo ya mishahara ni mahusiano ya mfanyakazi na boss wake! Hata wafanyakazi wa Serikali wanalalamika mishahara midogo Ila hawaachi Kazi na wanaendelea kufanya kazi
 
Mambo ya mishahara ni mahusiano ya mfanyakazi na boss wake! Hata wafanyakazi wa Serikali wanalalamika mishahara midogo Ila hawaachi Kazi na wanaendelea kufanya kazi

Sio pale unapowanyonya wafanyakazi kwa kuwalipa mshahara usiokidhi mahitaji muhimu!! I t is illegal!
 
Soon tutegemee ESCROW,DOWANS na EPA ya aina nyingine. Hajawahi kuwaza biashara zilizonyooka. Ni jasusi mbobezi kwenye maswala ya uchumi
 
Sio pale unapowanyonya wafanyakazi kwa kuwalipa mshahara usiokidhi mahitaji muhimu!! I t is illegal!
Tafsiri ya unyonywaji ikoje? Anayenyonywa ameacha kazi? Mnyonyaji ameshtakiwa?
 
Uhibitisho gani wewe bwabwa? Viwanda vya ngozi vinafanya kazi? Jibu swali.
Au unabisha kuwa yeye ndio aliuziwa viwanda vya ngozi?
Nipe uthibitisho wa yeye kupewa na kuvihujumu ivyo viwanda
 
Soon tutegemee ESCROW,DOWANS na EPA ya aina nyingine. Hajawahi kuwaza biashara zilizonyooka. Ni jasusi mbobezi kwenye maswala ya uchumi
Umemrithi lini Sheikh Yahya?
 
Wewe bwabwa kama hujui kaa kimya; usipoteze wakati wa Watu kujibu mambo usiyoyajuwa.
Matusi ya nini ndugu? Kwani kuleta uthibitisho ni kunyanyua vyuma siku hizi? Mbona ugomvi tena?
 
Mleta mada kwa jinsi alivyo tabularasa kwa kudhani anamtetea mhusika kumbe ndio anamharibia kabisa.

Haya ndio matatizo ya kurukia rukia mambo.
 
Mleta mada kwa jinsi alivyo tabularasa kwa kudhani anamtetea mhusika kumbe ndio anamharibia kabisa.

Haya ndio matatizo ya kurukia rukia mambo.
Shida sio wewe! Shida ni upeo wako mdogo

Au kiingereza kinakusumbua Kama ndugu yenu yule wa chato?
 
Matusi ya nini ndugu? Kwani kuleta uthibitisho ni kunyanyua vyuma siku hizi? Mbona ugomvi tena?
Don't ask stupid questions. Nani alikuletea uthibitisho kuwa Bakhresa alinunua National Milling?
 
Don't ask stupid questions. Nani alikuletea uthibitisho kuwa Bakhresa alinunua National Milling?
Kwani nimesema kama jambo linalosemwa tu au allegations zangu dhidi ya bakhresa?

Kama ningesema Kama allegations zangu lazima ningetakiwa kuweka uthibitisho
 
Once Bitten, Twice Shy...., watu wana-memory fupi sana...

Anyway hivi nani alituletea Dowans ?
 
Hivi sasa baadhi wanaanza kugeuka 'Panya road' , kama kundi litakuwa kubwa inabidi hatua za tahadhari zichukuliwe.
 
Rostam Aziz hajawahi iacha serikali salama!

Mark my words!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…