Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Maisha yanaenda Kasi sana. Dr Slaa alimkwepa Lowasa alipohamia CDM akasahau Kuna fisad papa aliyebaki CCM na baada ya muda Lowasa akarudi kumfuata huko huko CCM. Ndo maana Dr Slaa anaropoka hovyo kuhusu ripoti ya sieigiii. Sijui Dr. kala maharage ya wapi
 
Nasser muarabu wa Misri
Motsepe mweusi tii wa SA
Dangote mweusi tii wa Naija.

Rostam ni mpigaji na fisadi mmoja kutoka Mashariki ya Kati. ni hatari sana kuwa na mtu kutoka mataifa ya nje mwenye nguvu ya kupanga nani awe au asiwe Rais katika nchi fulani. hapa CCM japo mpo kulinda ubinafsi na matumbo yenu mkae mkijuwa mnainajisi sana Tanzania.
 
Mada ina husu Rostam ila wapumbavu mmegeuka kumjadili Magufuli!

Huyu mtu aliwabutua sana kiasi kwamba mna stress balaa
 
Rostam alijua jinsi ya kucheza na jiwe, jiwe akikunyoosha we kamsujudie tu then mnakuwa marafiki
 
Wapigaji tu
Huo ni wivu tu. Siyo Rostam Aziz aliyefanya wewe uwe maskini. Halafu kumbuka tukiwa maskini wote (Au Wanyonge kwa lugha ya Magufuli), ni nani atatupa ajira?

Rostam kanunua Tigo, ana toa ajira kwa watanzania wengine na kulipa kodi. Sasa anamshawishi mkulima mkubwa aje a mechanise kilimo chetu. Matokeo yake tutapata mazao, tutatengeneza ajira nyingi, atalipa kodi, ata export mazao hayo hadi Ulaya na America.

Nchi yetu Ina ardhi yenye rutuba ambayo mazao ya aina zote yanastawi. Wewe Lutifya umeifanyia nini hii ardhi zaidi ya kuikojolea na kuinyea tu?

Acheni mizaha kwenye uwekezaji
 
Kwani kuna shida ukiweka uthibitisho hapa!

Acha maneno weka uthibitisho tu alivyo hujumu Pia tueleze alishtakiwa na kufungwa na mahakama ipi
Kwa Nini Watu Wengi Wako Kinyume Na Wewe Yani Kundi Kubwa Linaongoza Kuzoda Kuliko Kumsifia Huyo Mtu Wako,WENGI WAPE...

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wivu , chuki na Husna vitakuua
 
Rostam ni mnyamwezi wa Igunga Tabora
 
Kikwazo cha maendeleo kwa mtu mweusi ni wivu, chuki, husda, roho mbaya na ushirikina/uchawi
 
Huu uchawa sio mmbaya.
 
Bara la Giza na Giza lake, hakuna anayeona mbali kwa mwanga wa koroboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…