Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwa mpiga ramliRostam Aziz hajawahi iacha serikali salama!
Mark my words!
Mkuu Lord denning , najua ulidhamiria kuandika neno "kuibadili", wewe umeandika "kuiba" "dili"Hongera Rais Samia, inayoenda kuiba dili haraka sana Tanzanial
Maisha yanaenda Kasi sana. Dr Slaa alimkwepa Lowasa alipohamia CDM akasahau Kuna fisad papa aliyebaki CCM na baada ya muda Lowasa akarudi kumfuata huko huko CCM. Ndo maana Dr Slaa anaropoka hovyo kuhusu ripoti ya sieigiii. Sijui Dr. kala maharage ya wapiIntelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuiba dili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Mada ina husu Rostam ila wapumbavu mmegeuka kumjadili Magufuli!Kwa mara ya kwanza umesema ukweli.
Magufuli alisema kwamba yeye ni Rais wa Maskini. Ili aendelee kuwa Rais na kuungwa mkono na watu wengi, alijitahidi sana kitengeneza maskini wengi kadiri alivyoweza.
Kuna jambo moja kubwa alikuwa halisemi. Yeye alikuwa ni Rais wa maskini wa kichwani, na alifanikiwa kwa kiasi fulani, ndiyo maana, pamoja na Magufuli kufanya uovu mwingi, bado mpaka sasa watu aliowatengeneza kwenye kundi lile la maskini wa akili, wanaendelea kumsifia.
Huo ni wivu tu. Siyo Rostam Aziz aliyefanya wewe uwe maskini. Halafu kumbuka tukiwa maskini wote (Au Wanyonge kwa lugha ya Magufuli), ni nani atatupa ajira?Wapigaji tu
ccm wote weziHuyu ni mwizi mwizi
Kwa Nini Watu Wengi Wako Kinyume Na Wewe Yani Kundi Kubwa Linaongoza Kuzoda Kuliko Kumsifia Huyo Mtu Wako,WENGI WAPE...Kwani kuna shida ukiweka uthibitisho hapa!
Acha maneno weka uthibitisho tu alivyo hujumu Pia tueleze alishtakiwa na kufungwa na mahakama ipi
Wivu , chuki na Husna vitakuuaNasser muarabu wa Misri
Motsepe mweusi tii wa SA
Dangote mweusi tii wa Naija.
Rostam ni mpigaji na fisadi mmoja kutoka Mashariki ya Kati. ni hatari sana kuwa na mtu kutoka mataifa ya nje mwenye nguvu ya kupanga nani awe au asiwe Rais katika nchi fulani. hapa CCM japo mpo kulinda ubinafsi na matumbo yenu mkae mkijuwa mnainajisi sana Tanzania.
Hata kama hawako sahihi?Kwa Nini Watu Wengi Wako Kinyume Na Wewe Yani Kundi Kubwa Linaongoza Kuzoda Kuliko Kumsifia Huyo Mtu Wako,WENGI WAPE...
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kaombe appointment nae ofisini kwakeHV nitapataje namba za rostam Aziz jmn
Rostam ni mnyamwezi wa Igunga TaboraNasser muarabu wa Misri
Motsepe mweusi tii wa SA
Dangote mweusi tii wa Naija.
Rostam ni mpigaji na fisadi mmoja kutoka Mashariki ya Kati. ni hatari sana kuwa na mtu kutoka mataifa ya nje mwenye nguvu ya kupanga nani awe au asiwe Rais katika nchi fulani. hapa CCM japo mpo kulinda ubinafsi na matumbo yenu mkae mkijuwa mnainajisi sana Tanzania.
Kikwazo cha maendeleo kwa mtu mweusi ni wivu, chuki, husda, roho mbaya na ushirikina/uchawiHuo ni wivu tu. Siyo Rostam Aziz aliyefanya wewe uwe maskini. Halafu kumbuka tukiwa maskini wote (Au Wanyonge kwa lugha ya Magufuli), ni nani atatupa ajira?
Rostam kanunua Tigo, ana toa ajira kwa watanzania wengine na kulipa kodi. Sasa anamshawishi mkulima mkubwa aje a mechanise kilimo chetu. Matokeo yake tutapata mazao, tutatengeneza ajira nyingi, atalipa kodi, ata export mazao hayo hadi Ulaya na America.
Nchi yetu Ina ardhi yenye rutuba ambayo mazao ya aina zote yanastawi. Wewe Lutifya umeifanyia nini hii ardhi zaidi ya kuikojolea na kuinyea tu?
Acheni mizaha kwenye uwekezaji
Upeo wa kijiwe SamliWapigaji tu
Huu uchawa sio mmbaya.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Kwahiyo Wewe Uko SahihiHata kama hawako sahihi?