Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

Safi sana. Kwenye Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kilichoandikwa na Yericko Nyerere utapata maarifa ya kutosha kumhusu huyu mtu. Kwa maoni yangu naona serikali haijamtumia ipasavyo.
 
Mwaka jana, Bara zima lote la Africa, tulikuwa na bilionea mmoja tuu kwenye Top hubdred wa mabilionea wa dunia, ni Aliko Dangote pekee!. Mwaka huu, hakuna hata Mwafrika mmoja kwenye top hundred, Dangote yuko Nafasi ya 129.
P
 
Sisi watanzania tunashida Sana mtu unasifia mhindi eti ni tajiri wa Tanzania kweli? Alafu unataja mabilionea wa nchi nyingine ambao wao ni asili kabisa sio kanjibai kama huyu rostam alafu umekalisha kende kusubiri maendeleo? Ama kweli alietuloga kafa
Tajiri alikuwa Mzee Mengi tu.
Wa kukaja
 
Kifupi tu ana harufu ya wizi, ni wakala wa ujasusi, hafai kuwa karibu na kiongozi wa heshima
 
Akikujibu nitagg
alikuja kuonana na huyo magufuli kwa sababu ya link hiyo hapo chini. kumsaidia huyo mdogo wake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…