okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo! Nipo sahihi
Safi sana. Kwenye Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kilichoandikwa na Yericko Nyerere utapata maarifa ya kutosha kumhusu huyu mtu. Kwa maoni yangu naona serikali haijamtumia ipasavyo.Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira na mapato ya nchi kupitia ushawishi kwenye uwekezaji
Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Mfano wa kazi nzuri za Rostam Aziz kwa Tanzania ni huu! Katika ziara aliyoambatana na Rais Samia Marekani, ameweza kushawishi uwekezaji mkubwa katika kilimo hapa Tanzania kupitia Benki ya maendeleo Afrika.
Hongera Rais Samia, naiona akili kubwa sana kwako inayoenda kuibadili haraka sana Tanzania kiuchumi
View attachment 2207616
Mwaka jana, Bara zima lote la Africa, tulikuwa na bilionea mmoja tuu kwenye Top hubdred wa mabilionea wa dunia, ni Aliko Dangote pekee!. Mwaka huu, hakuna hata Mwafrika mmoja kwenye top hundred, Dangote yuko Nafasi ya 129.Ukienda Misri kuna Nasser Sawaris anaemiliki viwanda vingi vya cement na shareholder wa kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo ulaya Adidas
Ukienda Afrika kusini Kuna Patrice Motsepe
anaemiliki shares nyingi kwenye makampuni mbalimbali ya madini
Ukienda Nigeria kuna Aliko Dangote mwekezaji mkubwa kwenye uzalishaji wa cement , Sukari na mafuta na sasa anatengeneza refinery ya kwanza ya mafuta katika Bara la Africa
Tanzania tunae Rostam Aziz mmiliki wa kampuni ya Caspian, Taifa Gas, Tigo na Zantel! Huyu kuaminika kwake kunafanya kuwa mtu ambae Tanzania tunamtegemea sana kwenye kishawishi uwekezaji mkubwa unaotengeneza fursa za ajira na kukuza mapato na Uchumi wa nchi yetu
Urusi wanao wengi akiwemo Roman Abramovich aliyekuwa mmiliki wa club ya Chelsea
Marekani ndo usiseme wanao wengi na wanazidi kuzalisha wengi kila siku kama Jeff bezoz, Bill Gates, Warren Buffet, Elon Musk na wengineo wengi
Umeona Sasa Wengi Wanakupinga Nakushauri Wewe Ungana Nao..Ndiyo! Nipo sahihi
Hii iache tu. Hakuingia popote. Alipouza hisa na mapochopocho mengine rungu likazipitia nusura awe mhehe. Akapewa mtu nyuma .ovaNa hapa alimuingia Kibwengo magufuli kupitia Nani?
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2207675
Tajiri alikuwa Mzee Mengi tu.Sisi watanzania tunashida Sana mtu unasifia mhindi eti ni tajiri wa Tanzania kweli? Alafu unataja mabilionea wa nchi nyingine ambao wao ni asili kabisa sio kanjibai kama huyu rostam alafu umekalisha kende kusubiri maendeleo? Ama kweli alietuloga kafa
ukoo wa nani?Rostam ni mnyamwezi wa Igunga Tabora
Iyo ndoto umeota lini?Kifupi tu ana harufu ya wizi, ni wakala wa ujasusi, hafai kuwa karibu na kiongozi wa heshima
Mzee Azizukoo wa nani?
Niungane na nani?Umeona Sasa Wengi Wanakupinga Nakushauri Wewe Ungana Nao..
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna shida kwani?hujui rostam rafiki ya kikwete
Akili hizi ni za jiwe a.k.a Simba wa Yuda aliyeamini kila tajiri ni mwizi. Wafuasi wake bado mpo tu??Huyu ni mwizi mwizi
alikuja kuonana na huyo magufuli kwa sababu ya link hiyo hapo chini. kumsaidia huyo mdogo wakeAkikujibu nitagg
Unawapinga Wewe Ni Mmoja Wenzako Wako Millioni Moja Hilo TatizoNiungane na nani?