Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Watakua hawajawapata hawa wakinga tulionao na ni wachache sana..Juzi nilisoma mada moja inauliza mwanamke kakufanyia lipi la maana kwenye mahusiano yako. Asilimia 95 ya majibu kutola kwa men yalionyesha kwamba mwanamke si chochote bali ni mzoga tu.
Hawa viumbe bana.
wazee wa nini,aandae bajeti ya kwenda bush uko ndani ndani akajichagulie demu aoeOngea na wazee kijijini wakufanyie mpango. Wanawake waliobaki hapa dar ni kwa ajiri ya matumizi ya starehe tu.
Mkuu hiyo laki 5 ni ng'ombe mnyama au? Naona fursa ya biashara hapo.Umeshiriki zoezi la mahari lini huku usukumani????
Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi ng'ombe hathaminishwi kwa laki moja au mbili na hii ni uhakika.
Mdogo wangu katolewa ng'ombe 12 kwa laki 5 kila moja
njaa nyingi kamandaHii hesabu umeikokotoa vp?
Kama ng'ombe1=sh500000
Ng'ombe15=sh7500000.
Nataka kufahamu kiwango chake cha mahari kinaendana na mabinti wa mkoa gani, maana kiwango cha mahari huwa kinatofautiana kati ya makabila.Kwamba unataka 10 pasent
Ikiwezekana waandalie na tunguli kabisa uweke ndani kama maandalizi ya mapema.Daah nimecheka sana hapa mkinitoa JF nawaroga..
Vipi tena๐ kuna jamaa mwingine humu jf alileta uzi alisema kupata mke kwake unakua changamoto, sababu karibia kila mdada anaemtokea focus yake kubwa inakua hela na si mahusiano serious, akadhani ni yeye tu, aliuliza Hadi washkaji zake, na washkaji zake walikua wanapitia hayo hayo anayopitia Saa 7 mchanaDah mwanetu
Utahitaji direction ya wenyeji mkuu. Hauwezi kwenda tu sehemu ambayo binti hakujui kwao hawakujui na wakakuamini umchukue binti yaowazee wa nini,aandae bajeti ya kwenda bush uko ndani ndani akajichagulie demu aoe
Katika mambo ambayo siyaamini ni uchawi. Wakati fulani kipindi nafanya kazi benki moja hivi kubwa hapa bongo nilipelekwa kikazi kwenye kijiji kimoja hivi kinaitwa Madaba kipo katikati ya njombe na songea.Acha uoga kijana, wachawi nao wapelekewe moto..Lete jina la mkoa na kijiji
Utanisamehe.Hongera kwa kufanya chaguo sahihi.
Pumbavu sanaRespond za vijana kwa totoz nyeupe๐
Uaminifu upi? Na mwanamke akitoka kijijini akafika dar anabadilika anakuwaje? Nyie vijana mnategemea sana mwanamke ukimtoa kwao akifika awe anakusalimia na magoti asubuhi, kila kitu anasema tu ndio baba/sawa mume wangu na magoti juu๐ฅน hebu jitahidini kuangalia mambo ya msingi kwenye ndoa mengine yote ni ubatili mtupu๐๐พUtanisamehe.
Katika wanawake ambao ukiwatoa kijijini wakija huku mjini Dar wanabadilika na kukosa uaminifu wasukuma wapo 3 bora.
Msukuma muoe aliye kaa Dar muda mrefu au aliyezaliwa Dar.
Ukimtoa mshamba kijijini utajuta. Nimeona kadhaa yamewakuta ....
Mbona wewe huwa unanisalimia kwa magotii beibiii๐Uaminifu upi? Na mwanamke akitoka kijijini akafika dar anabadilika anakuwaje? Nyie vijana mnategemea sana mwanamke ukimtoa kwao akifika awe anakusalimia na magoti asubuhi, kila kitu anasema tu ndio baba/sawa mume wangu na magoti juu๐ฅน hebu jitahidini kuangalia mambo ya msingi kwenye ndoa mengine yote ni ubatili mtupu๐๐พ
marhabaaa msukuma wangu ๐๐Shkamoo mume wangu ๐ง๐ปโโ๏ธ๐ง๐ปโโ๏ธ๐คญ
Ndio mambo uyapendayo sio๐marhabaaa msukuma wangu ๐๐
Akili ya uvulana hiisitaki nioe alafu nimwache mke ndani nitafute hawara ambaye atanivutia na kunifurahisha,!!
๐๐๐๐๐Kuna toto jeupe la kisukuma hapa hamna hamna ng'ombe 15 unazo??? Nikuunge fasta