Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

Taja kijiji nikajivike mabomu
Mkoa fulani kijiji kipo ndani ndani huko, huko hata umeme haujafika mpaka leo barabara ni vumbi tupu, network majanga kabisa nilichokikuta ni watu wanashindana kucheza ngoma kwenye uwanja mkuuubwa wa mpira, kuna vibinti vizuri ila nikaambiwa utarogwa kua makini
 
Au Nenda kijijin mikoan ndan ndan huko nenda kwa gia ya kutafuta mfanyakaz wa ndan, wapo waliomaliza form4, ukimleta mjin anakua mke, na wanakuaga wametulia sana maana wanaogopa kurud kwenye shida, ila cha muhimu USIFUNGE NDOA ishini tu ili ajue akizungua mda wowote ni safari
 
Kuniweka kundi la vijana unaninyima fursa ya kukutembelea PM shemeji yetu akikurofisha..😜
Hivi uaminifu kwenye ndoa haujui tunazungumzia kitu gani?
Kubadilika kutoka kuwa mwaminifu na kuwa msaliti, mjeuri na muongo hapo kunahitaji ufafanuzi?
Uaminifu, ukweli, utii na kusikilizana siyo mambo muhimu kwenye ndoa?
Naongea kwa niliyo yaona kwa watu wa karibu wakiwemo ndugu.
 
Wewe ni msukuma? Maana wasukuma wengi na watu wa kanda ya ziwa badala ya kuuliza jinsi ya kutafuta mtaji au kujinasua kimaisha wao wanafikiria vitu petty.....utasikia "Mimi nataka kuoowa" Haya mambo ni ya kizamani, kulisha mke? Kila mtu anatakiwa afanye kazi.....acha gia zako wewe! Tafuta jirani yako aliyeenda shule kama wewe, ila kama hujaenda shule, na unasema unafanya biashara....biashara gani? Umachinga au gani? Kama hujaenda shule, katafute mwenzako ambaye mpo level moja. I hope huu ushauri utakuwa umekusaidia.
 
Huyo unaye mzungumzia hapa ndiyo yule aliye olewa kule kwao na kuishi huko kwao. Ukimleta Dar akajua kuvaa na kuanza kupendeza huku anasumbuliwa na vijana anaanza matatizo kwa mumewe. Wakifika huku na kujua kuna haki sawa basi anaacha unyenyekevu na kusikilizana.
Kule kwenu hawezi kuleta hizo mambo anajua ataadhibiwa na wananzengo.

Kuhusu kufanyiwa ukatili Kanda ya ziwa upo sahihi. Huko karibu kabila zote utamaduni wa kawaida kwao. Mwanamke anafanyishwa sana kazi kama mtumwa au ng'ombe maksai.
Mijamaa ya huko inamchukulia mwanamke kama kifaa au kitu unacho kimiliki. Nadhani sababu ya kutozwa mahari kubwa.
Wanapiga wake zao au kuchapa makofi, ngumi au fimbo kama mtoto wa shule.
Wanaenda kulima wote, wakirudi mwanamke akatafute maji, kuni na kumpikia mumewe au familia yote. Mtoto anahangaika naye peke yake baba hamsaidii kumshikia mtoto wakati huo, usiku mjamaa anaenda kukandamiza kama kawaida kwenye majukumu ya ndoa.

Wakiachana mara kadhaa unasikia mwanamke hajapewa mgawo wa mali walizochuma na mumewe.
BTW, ukitaka kutoa mwanamke mchapa kazi oa msukuma, mjita, mkerewe, mnyakyusa, mchaga, muha, Mnyiramba, mhehe, mkinga , mbena na kiasi fulani mngoni.
Ndugu zangu wa Pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar hadi Lindi na Mtwara hao ukioa imekula kwako.
 
Taja hata jina la wilaya
 
Ndiyo imeisha hivyo?
 
Tanga watoe, ukipata mtoto wa kidigo au kizigua alofundwa vizuri mbona pepo waiona hii hapa, funga kazi umpate mtoto wa korogwe (mgosi wa ndima) huko ndio balaa kabisa
 
Awawezi mloga mgeni. Unless umemkasea at personal level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…