Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Utakaa milele?Hahaha Unao uhakika huu utawala utakoma ?
Sawa. Hujui unalosema. Nani alijua Al Bashir atakamatwa kama kuku?haki mbinguni mjomba hapa duniani utasubiri sana
Ndio utakaa milele mkuu kama wa Malkia ElizabethUtakaa milele?
Utakoma tu, haikuwa wa firauni au hitler na mifano mengine ming nayo ilikoma!Hahaha Unao uhakika huu utawala utakoma ?
Nami nimesikia hivyo pia.Nimesikia waliotumwa area D kumshambulia TL wameuwawa ili kutunza siri.