Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa mnajidanganya kuwa kuwa makosa yenu ya kumpiga risasi bila hatia Lissu,watu watayasahau ukweli ni kuwa hayatasahaulika.
Huu utawala unaowalinda utapita na kosa la jinai halina mwisho. Hivyo huko mlipo mjitafakari,je huu utawala ukiondoka na akaja mtawala anayependa haki mtapona? Je mtajisikia vipi mkitiwa nguvuni?
Wapeni taarifa viongozi wenu wote wanaolinda wauaji kisa tu kuna wakubwa wanawalinda. jinai haina mwisho