Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Vilevile kwanini jeshi la POLISI halifanyi uchunguzi?
TL alipokuwa nchini alifika mpaka kwa RPC wa Dodoma kudai gari lake.
Kama victim yuko, na anazungumza, sielewi kwanini Polisi wameshindwa kumhoji.
Taratibu za kuhoji victim zinasemaje? Mpaka awepo nchini tu?Hakuna police force inayotumia gharama kubwa kuchunguza crime ambayo victim na eyewitnesses wake wako hai, lakini wamekimbia nchi. Kwa maneno mengine, ukitelekeza kesi yako yoyote (hata ya wizi) ndiyo basi tena!
Mimi sina ujamaa na Lissu. Nasimamia misingi ya kisheria kuwa jinai haina mwisho. Ukifanya kosa leo utakamatwa hata baada ya miaka mia. Je waliompiga Lissu, jinai yao ina mwisho?
Unanifundisha jinai ni kitu gani? Hapa tunatishia? Tunasema ukweli kuwa watu ambao walimpiga mtu risasi bila hatia kosa lao lipo palepale?Jinai sio kumpiga mtu risasi kinyume cha sheria tu (hata wizi ni jinai)! Kama kumtangazia mwizi kuwa “jinai haina mwisho” kungekuwa na tija, wezi wangukuwa wameshaisha!
Taratibu za kuhoji victim zinasemaje? Mpaka awepo nchini tu?
Kuhusu Lissu kutelekeza kesi nakukatalia. Yeye ni victim tu, Jamhuri ndio imefanyiwa kosa ilitakiwa ifanye juu chini waliohusika wakamatwe. Ila sababu jinai haina mwisho ipo siku watakamatwa.Kuhoji victim aliyeko nje ya nchi kuna logistical issues. Kama victim ametelekeza case, obviously, investigators hawaingii gharama za ziada kuchunguza case yake. Hiyo ndiyo inaishia hapo. Hata kama ingekuwa imeshafika mahakamani, victim akiitelekeza itatupwa, kwa sababu victim (kama yuko hai) ni shahidi muhimu sana!
Hata Mimi nimeshangaaHivi wewe ni Chagu Wa Malunde kweli au account yako imehackiwa?
Hakuna police force inayotumia gharama kubwa kuchunguza crime ambayo victim na eyewitnesses wake wako hai, lakini wamekimbia nchi. Kwa maneno mengine, ukitelekeza kesi yako yoyote (hata ya wizi) ndiyo basi tena!
Kuhusu Lissu kutelekeza kesi nakukatalia . Yeye ni victim tu, Jamhuri ndio imefanyiwa kosa ilitakiwa ifanye juu chini waliohusika wakamatwe. Ila sababu jinai haina mwisho ipo siku watakamatwa.
Mimi sina ujamaa na Lissu. Nasimamia misingi ya kisheria kuwa jinai haina mwisho. Ukifanya kosa leo utakamatwa hata baada ya miaka mia. Je waliompiga Lissu, jinai yao ina mwisho?
Acha kutanga tanga kama mtoto. Umeanza kusema wametelekeza,sasa hivi hana ushiriano. Ushirikano upi ambao victim atautoa bila polisi kuanza wao kufanya uchunguzi? Aaanze kuwalazimisha kufanya uchunguzi?
Jikite kwenye mada, waliompiga Lissu risasi kosa lao lipo palepale. Maana unajaza pumba tu.
Hayo majibu ya police na waziri Yana fikirisha Sana!
Siyo kweli. Wakati mwingine victims wanakuwa wamekufa lakini wachunguzi wanaendelea kutimiza wajibu wao.
Approach ya kuchunguza case ya shambulio ambalo limemuacha victim akiwa hai haifanani na ile ya shambulio ambalo victim wake amekufa.
Kama victim yuko hai, hakuna investigation itakayofanyika bila input ya victim. Kama victim anataka case ifie kituo cha police aache kutoa ushirikiano unaohitajika.
Kama victim amekufa, hilo ni swala jingine; wapelelezi watajaribu kujenga na kutathimini theories mbalimbali kutoka vyanzo vyovyote (na wakati mwingine kwa gharama kubwa) ili kusolve hiyo crime.