Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
HaaHuna washikaji Karagwe na Bukoba wakupe uzoefu washayazoea hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaaHuna washikaji Karagwe na Bukoba wakupe uzoefu washayazoea hayo
Hata bukoba karagwe piaJambo Dogo Hilo Huhitaji Kuhaha Sana
Inabidi Upate Godoro Halafu Nunua Nylon Kama Ile Unayoikuta Kwenye Vitanda Vya Hospital, Unaitandika Hapo Halafu Muda Wa Zoezi Mnakuwa Na Kitambaa Safi
Usije Kuona Kama Ni Ajabu
Ukifika Bunazi, Kemondo Bay, Rwamishenyi, Nkwenda, Kyerwa, Omurushaka, Kayanga, Ngara
Huwezi Shangaa Utaona Kawaida Sana
Tukirusha maji shida tusiporusha shida pia
Tukirusha maji shida tusiporusha shida pia🤔
Sasa mkuu je watoto wakikua si watajua Hali hii? Na je binti wa kazi nae? Maana Naona ni Hali inayomfadhaisha mke wanguUmeoa mwanakaterero, mwanasquit mwanasquitaz ,
Unatakiwa Godoro lifungwe cover ya karatasi au zile plastic za wajawaziko kujifungulia hospital, ongea na watu wa Maduka ya dawa au manesi ununue hizo za kujifungulia wajawaziko kazi imeisha endelea kula Raha na mkeo
kumbe wewe ni mwanachama wa ma jobless pro max, basi Nita kupa hiyo mifuko bure 😂Acha masihara rais wa majobless
Nenda ulikooa kawaulize watakupa majibu kaongee na mashemeji na wazee wa Kijiji ulichooa watakupa majibu, huwezi piga chini hio River Kagera a.k.a Rwamishemi tributarySasa mkuu je watoto wakikua si watajua Hali hii? Na je binti wa kazi nae? Maana Naona ni Hali inayomfadhaisha mke wangu
Sawa, napata wapi? Maduka ya magodoro? Ma hospitali?Simnunue waterproof matress cover bei rahisi tu
Unaanzia Muleba, Bihalamuro, Bukoba, Misenyi, Karagwe, Kyerwa,,NgaraHata bukoba karagwe pia
Tangaza chama achana hizi mambo Raisss 🤣usi hangaike nenda kwa wauza mifuko, wata kupa yake manailoni meupe.
Huwa Yana kuwa ndani ya mifuko ya sukari.
hapo hata amwage diaba, Yana elea tu.
Ni aibu kwakweliUnaweza kufikiriwa tofauti na majirani kufua lundo la shuka kila siku
Ndiyo maana inakatazwa kabisa kumlala mchumba kabla ya ndoa, sababu moja wapo ni hii, kuanza unyanyapaa usiokuwa na mbele wala nyuma!Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa).
Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka kila siku ukizingatia tupo nyumba ya kupanga.
Nimeanza kuwaza je itakuwaje tukipata watoto, kadri watavyokuwa wakubwa si wanaweza kujua hali hiyo?
Imefikia hatua naogopa hata kuishi na ndugu/binti wa kazi hapa kwangu kwa mazingira haya ya sasa kwa sababu anaweza kujua hii hali kutokana na ufuaji huu wa kila siku wa lundo la shuka kila wakati.
Ninajua humu kuna wajuvi wa mambo mengi, hebu naombeni Kwa wale wenye uzoefu na hili wanisaidie ni njia zipi wanazotumia kukabiliana na changamoto hii