Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
kuna dawa za asili ambazo zinasaidia kuondoa hiyo shida ya mwanamke mwenye mji mengi. Pia ziko za kusaidia mwenye uke mkavu uwe na majimaji. Hata mwanamke asiesikia nyege dawa zipoWakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa).
Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka kila siku ukizingatia tupo nyumba ya kupanga.
Nimeanza kuwaza je itakuwaje tukipata watoto, kadri watavyokuwa wakubwa si wanaweza kujua hali hiyo?
Imefikia hatua naogopa hata kuishi na ndugu/binti wa kazi hapa kwangu kwa mazingira haya ya sasa kwa sababu anaweza kujua hii hali kutokana na ufuaji huu wa kila siku wa lundo la shuka kila wakati.
Ninajua humu kuna wajuvi wa mambo mengi, hebu naombeni Kwa wale wenye uzoefu na hili wanisaidie ni njia zipi wanazotumia kukabiliana na changamoto hii