Ndiyo maana inakatazwa kabisa kumlala mchumba kabla ya ndoa, sababu moja wapo ni hii, kuanza unyanyapaa usiokuwa na mbele wala nyuma!
Wewe umeona kuwa hilo ni tatizo mpaka uulize kadamnasi?
Haya, nenda kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kanunue plastik laini zinazotumiwa kutengenezea makochi zinaitwa carpet la kutosha kushona cover ya kuenea godoro ili unapomkojoza mkeo, naniliu zisiathiri godoro lako hilo la bei.
Wasema kufua mashuka, kwani mkuu una pair ngapi za shuka na mfuaji ni nani, pia unamhofia nani huyo wa kushushua maisha yenu?
Unanipa maswali mengi sana yanayoonesha udhaifu halisi wa mwanaume pre mature!
Mpende mkeo hata kama angelikuwa kikojozi wa kitandani, dawa ni usafi pamoja na kubadilisha mashuka.