Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

Dah wanawake wa hivyo nawakubali mno ila pia juhudi zangu zizingatiwe bila kuomba pesa.
 
wazazi wa huyo mkeo walifanya kosa kubwa sana kumuozesha binti yao kwa kijana ambaye ubwabwa wa shingo haujamtoka.
 
Umemsaidia ushauri mzuri na kumpaka pilipili juu Wacha weeee 🤣
 
Hup sio mkojo wa kawaida inaitwa squats kama sijakosea herufi, ni namna ya orgasim kwa wanawake wapo wachache wa namna hy ingawa idadi kwa ss ni kama inaongezeka.

Maji yatokayo huko hayana harufu wala radha yyt na ni masafi kbs (sijasema kwa kunywa)

Suruhu check maduka ya madawa na vifaa tiba wanauza cover za godoro kwa ajili ya kustiri hiyo hali
 
Ktk hustle zangu nilkutan na wahovyo m1 hivi niwazuri mno unaenjoy ila ubay ndo hua nililala kiubavu usiku kucha
 
Mkuu sikuja kumsema mke wangu hapa kwenye kadamnasi Bali nimeleta changamoto yangu Kwa kutumia fake ID niweze kusaidika. Kwanza ninampenda Sana na nimeipokea hii changamoto na ndio maana nimeanzisha Uzi niweze kumsaidia.
Shuka ziko pair nyingi Ila shida ni kwamba huwezi tunza shuka zilizolowana kwa muda wa siku nyingi,inakubidi tu ufue kila baada ya muda mfupi.

Pia Asante kwa ushauri nitauzingatia
 
Huwa nashangaa sana upele unapo mpata mtu mwenye hana kucha...😋
Na hizi ndio nyuzi za maana sasa, tunajenga taifa bora kabisa kwa vijana wanao jitambua kamawewe...🤣
 
Jambo dogo kama hili umeshindwa kusolve, kataa ndoa epuka kuloanisha kitanda na kufua lundo la mashuka
#kidumu chama cha majobless pro max
 
Nikipata wa hivi nitaenjoy sana
 
Kwanza ondoa hilo neno changamoto wala sio changamoto fuata maelekezo ya wadau hapo juu lakini ninge kua mm ni furaha tu hata shuka zikiloa fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…