Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

😅😅😅😅😅 wewe si umepanda madaraja. hongera kwa uvumilivu

walimu kuweni wavumilivu mamilion mtapata tu ni swala
la batua huezi taka kumi na hata moja huna
 
Kazanazo asione hii atajinyonga, na akiona kuna usaili ndio atakufa kwa presha 😂 anaona serikali imembania kufika huko 😂
Jamani tukae makini na karibu na hawa watu mana wanaweza kujidhuru 😂
 
Ahaaa aisee anaScreen yake atakuja vuta subra simu inamsumbua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…