Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Mlioomba Ajira Ualimu utumishi Angalieni status zenu

Kwenye huu uzi wamejazana watoto wa mpwayungu village kazi yao ni kupondea kada ya ualimu na hawzingatii hoja

Hoja ikiwa inahusu kada nyingine ni hoja ila ikihusu au ikitolewa na kada ya elimu ni takataka shame on you!
Yn kisa kutofautiana mawazo na ww ndo unasema n watoto 😂
Usaili n lazima utafanya tuu mzee wangu, utake au usitake
 
Kwa sababu ndio njia pekee ya kupata waalimu wenye ufanisi zaidi na pia n njia ya usawa kuajiri watu.
Hii nishakujibu nikasema:-

Ukiangalia ufaulu wa miaka hii ni wazi kuwa wanafunzi wanafaulu kupita matarajio na ndio maana wasio na ajira mtaani ni wengi sana hii ina maana walioajiriwa bila interview hawana mapungufu yoyote ambayo yangefanya kuwe na ulazima wa usaili ili kuchuja ubora

Kama ni kutafuta usawa au kuwapambanisha eti kwakuwa wanaohitaji ni wengi bado usawa huo hautakuwepo utake usitake rushwa lazima itatembea

Kigezo cha kupima competency ya mwalimu kwa mtihani wa kuchagua ni uwongo bora hata interview ya kufundisha sio multiple choice
 
Yn kisa kutofautiana mawazo na ww ndo unasema n watoto 😂
Usaili n lazima utafanya tuu mzee wangu, utake au usitake
Lete hoja usilete ligi na vicheko usilete habari za utani wa simba na yanga tunataka ujenge hoja mkuu acha ushabiki wa kada
 
Sasa wametumia vigezo gani wengine kuwapanga interview na wengine kuwaacha wakiwa wanahang?
 
Back
Top Bottom