Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

Umefanya au unafanya?... Kuna wakati uliopta na wakati uliopo na ujao,.. fuatulia vzr chanzo ndio utajua kwann nakwambia Kuna mabadiliko mzeeya
 
Interview ni next week 4/04 So wakimalza hao labda watafata awamu nyingne kama mwaka jana, ila tuwe na amani hujatumiwa email ya kutokuendelea na wewe next step uhakika wa kuitwa oral upo, ni swala la muda tu.
Ulifanya oral interview yao mwaka jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…