Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

Mayele kauomba msamaha uongozi wa yanga kwahiyo kwakua yale majini yake kapewa guede wakasema wamuagizie mengine bagamoyo ila viongozi wakasema yapitie kwanza avic town kigamboni ili tuyahakiki.


Jumla yake ni kama 1000 hivi
 
Ni satellite zimerusha mkupuo wiki iliyopita
 
Wabongo bhana.....
 
How far are you sure kuwa ni satellite ya Star Link?
Mkuu hii siyo habari mpya. Kulingana na maelezo waliyotoa na picha ambayo mmoja wa members amepiga nina uhakika ndiyo yenye. Mpaka website ya ku-track itakuwa wapi na kwa muda gani ipo.

 
Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.

Itakuwa satelaiti....

Kuna wakati ISS huwa inaonekana kama nyota inayotembea kwa kasi angani haswa ukiwa upande wa kaskazini au kusini mwa dunia...
 
Usiwaze ni mimi nilikua nawapimia mipaka Alien niliwadanganya mi ndo mmiliki wa mbingu upande huo
 
Saa moja na robo usiku huu huku Mbagala kimeonekana kitu kirefu kikiwaka taa kama urefu wa mabehewa ya treni, tukio hilo limekwenda kwe dakika tano hivi kisha kikapotea, wenye taarifa watujuze.
Yani dk 5 ukashindwa kupata picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…