Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.

Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Screenshot_20250720-084153.jpg

1752992098824.png
 
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.

Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
View attachment 3411811
Acha kutuchuuza Chiembe,hao wanaona hata kichefuchefu kuja kushuhudia kichefuchefu chetu.
 
Back
Top Bottom