The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Takataka huna hoja . Samia outUmoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko