Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Wengi tulikubali ndiyo maana tukapiga ata kampainiUnadhani kila mwanacdm alikubaliana na ule upuuzi?
Wengi tulikubali ndiyo maana tukapiga ata kampainiUnadhani kila mwanacdm alikubaliana na ule upuuzi?
Ndugu ,ebu tutumie muda kidogo kupanga wagombea na safu ya uongozi wa serikali kupitia CHADEMA.Nani anashindwa kuwa rais wa Tanzania boss?
Unamjua nani na nani hadi utake nikupangie? Maana juzi uchaguzi umefanyika na kote viongozi wamepatikana na wote wana uwezo. Sasa unataka nikutajie kwa umaarufu wao au kwa uwezo wao?Ndugu ,ebu tutumie muda kidogo kupanga wagombea na safu ya uongozi wa serikali kupitia CHADEMA.
Ficm Keisha habari yaoUmoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Hawataleta ushoga??Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Kwani ofisi za chadema zipo mbinguni? Hazipo Tanzania?? Si zimefungwa? Watapeleka wapi?Huwa wanaupeleka ofisi za Chadema, kwingine wanaogopa
Kwahiyo waliochaguliwa ndiyo hao wanaweza kushika dola? Ebu kua makini nduguUnamjua nani na nani hadi utake nikupangie? Maana juzi uchaguzi umefanyika na kote viongozi wamepatikana na wote wana uwezo. Sasa unataka nikutajie kwa umaarufu wao au kwa uwezo wao?
Mungu ahsante, Kila dakika ipitayo chadema wanaaibika tuUmoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Kumbe, ama unadhani kushika dola kuna umaarufu wowote boss?Kwahiyo waliochaguliwa ndiyo hao wanaweza kushika dola? Ebu kua makini ndugu
Beberu ana maslahi makubwa na Nchi kuliko vikundi vyao ambavyo wameona havina muolekeo zaidi ya utapeli 😁😁Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
🤣🤣🤣Sijui wataficha sura zao wapi
DAAA NIMECHEKA KWA SAUTIHivi Umoja wa Afrika nao huwa wanaenda Marekani na Ulaya kuwa waangalizi wa chaguzi zao?
Hamna ndiyo maana sisi CDM atutaki kushika dola.Kumbe, ama unadhani kushika dola kuna umaarufu wowote boss?
Ndio hatutaki, ulitakaje labda?Hamna ndiyo maana sisi CDM atutaki kushika dola.