Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Ni wajibu wa tume kualika kila wahusika huo ni mwaliko tu, kinachofuata waalikwa kuthibitisha kuwa watashiriki, badala ya kuweka mwaliko wa tume mngeweka uthibitisho wa kushiriki kutoka kwa waalikwa.Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.
Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko