Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

Mliosema Uchaguzi Mkuu hauna uhalali kimataifa, Umoja wa Ulaya umeomba kuwa Waangalizi wa uchaguzi

Hata mke asiye halali unaweza kupata naye mtoto, ila bado si mke halali kwako..
kwahiyo we ulikaa ukawaza hawa EU wanaochota wanachokitaka kwa jinsi wanavyotaka wanaweza kuzuia chochote?..
Mwenye upeo wa juu wa ufahamu lazima alijua kuwa that was just a propaganda to the watumwas wa Tanganyika.
Mngegoma kukopa au wasichukue Maliasili za wadanganyika ndo mngejua kwanini EU iliundwa...
 
CHADEMA wako desperate; Taarifa yeyote yenye mrengo wa kukosoa CCM kwao ni mtaji wa propaganda!
 
Wewe lofa kumbuka serikali ndiyo umepeleka mwaliko Kwa asasi hizo, huu ni utaratibu Kwa Miaka yote ndiyo maana mnaambiwa shule ni muhimu nyie mbwa.
 
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.

Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Sio wao kuja tu, wakija wanaweza kupiga kura kabisa, na mkiona hao hawatoshi muiteni na Trump aje apige kura. Msimamo wetu ni NRNE. Tuna uhakika na madai yetu, na madai yetu ni ya kweli. Hatutishiki na yoyote kuja kutazama huo uchaguzi ama nini.
 
Hizo ni hisia za hanasa mkuu... mbona 2015 tuliazima mgombea kutoka CCM.
Yule alikuwa mgombea wa Mbowe sio wa cdm. Na vile tumemstukia tumempiga chini akaendeleze siasa biashara na ccm.
 
ACT-Wazalendo,CHAUMMA,NLP,NCCR,TADEA,CCM nk vinashirki uchaguzi ndugu.
Ni haki yao, hata vitaka vikaweke kambi kwenye vituo vya kupigia kura ni haki yao. Lakini msimamo wa cdm ni kuwa, bila mabadiliko kwenye uchaguzi hawashiriki huo upuuzi. Na uzuri madai ya cdm ni ya halali.
 
CHADEMA wako desperate; Taarifa yeyote yenye mrengo wa kukosoa CCM kwao ni mtaji wa propaganda!
Toka mwaka 1995 kumekuwa na utaratibu huo wa kualika mashirika yasiyo ya serikali kwenye uangalizi , Sheria inalazimisha serikali kupeleka maombi ya usimamizi wa uchaguzi kumbuka hayo mashirika ndiyo wafadhili wa maendeleo yenu watanzania.
Nyie mafala ulizeni Kwanza tatizo lenu mnakurupa sana
 
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu.

Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata breki kwenye mteremko
Kwa hiyo wewe kwa akili yako uliyopewa na mwenyezi Mungu unaona kabisa hizi chaguzi zilizofanyika wakati wa Magufuri na sasa ni Uhuru na haki?
 
Kwa maana NGOJA ncheke wajitekenya wacheka mwenyewe. JE we SI hamnazo yule asema SI Mimi asema
 
Back
Top Bottom