Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 689
- 1,562
Mkuu ni wangapi Wana vernier caliper!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda uwe na vernier Caliper ili ukapime thickness ya bati. Wanakupa kipeperushi, unaangalia..gauge 30 ni thickness ya ngapi? Unapima.
Otherwise, waamini tu wenye kiwanda/wauzaji.
Asante kaka. Kwa kuwa fundi wangu hana shida nitaenda nae tu. Hakuna namnaNjia asilia ni kutumia mikono,ukiishika unaweza kujua kuwa hii bati ni gj ngapi lakini kwakuwa ni mgeni wa mabati ni vyema ukaambatana na fundi wa kupaua akakusaidie kubaini.
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee hico kidubwana cha form one sincw then sijawah kukiona tena.Labda uwe na vernier Caliper ili ukapime thickness ya bati. Wanakupa kipeperushi, unaangalia..gauge 30 ni thickness ya ngapi? Unapima.
Otherwise, waamini tu wenye kiwanda/wauzaji.
Nina deficit ya pesa na sina njia yoyote ya kupata pesa kaka.Acha ujinga mkuu. Leo unataka slope baada ya miaka 3 utaanza kulalamika bati mbaya, jikaze nunua ALAF kama kweli unaipenda nyumba yako.
RAHISI NI GHARAMA.
Shukrani.Mbona bati 110 sio nyingi? Nunua bati Bomba mbona wako vizuri tu.
Pitia uzi wa Elimu kuhusu Mabati uko humu. Utaelewa na kufanya maamuzi mazuri
Philipo ndugu yangu nakushauri ni bora upaue december mwakani uweke bati za ALAF.Nina deficit ya pesa na sina njia yoyote ya kupata pesa kaka.
Nimeshafika elastic limit
Inawezekana ndugu. Kama ni wewe au ni mwenzako, ila nilifurahia sana uwazi na ukweli wenu. Sikununua mabati kwenu kwa kuwa nilipendezwa na mabati ya rangi ya Red Wine ambayo kwenu kipindi hicho hamkuwa nayo. Ila niliwaelewa sana Kinglion kwa elimu mliyonipaMbona kama huyo mtu wa kinglion Mabati ni Mimi!!!!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana mwishoni kabisa nikamshauri mnunuzi awaamini tu wauzaji/watengenezaji. Mimi mwenyewe ingawa najua thickness inapimwa na Vernier Calipers, wala sikuitumia. Niliwaamini tu wauzajiMkuu ni wangapi Wana vernier caliper!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namba kwakweli. Ni kucheza game of chance tuNdio maana mwishoni kabisa nikamshauri mnunuzi awaamini tu wauzaji/watengenezaji. Mimi mwenyewe ingawa najua thickness inapimwa na Vernier Calipers, wala sikuitumia. Niliwaamini tu wauzaji
Shukrani.
Ngoja niusake niongeze kitu kichwani
Nimekupata ila urefu na upana wa bati si ni standard?BATI ZA BATIBOMBA NI NYEPESI NA NYEMBAMBA (YAANI UREFU NI MITA TATU KAMA ZINGINE, ILA UPANA ZIMEPUNGUA)
KWAMBA UTATUMIA BATI NTINGI KUEZEKA TOFAUTI NA BATI NYINGINE.
SUNSHARE WANA BATI NZURI PIA.
Bado sijanunua. Nashukuru sana mkuu nikipata ushauri wako. Iwe ni hapa au pmKama bado hujanunua nataka nikushauri kitu,...
Miaka mingapi labda ndo zipauke hizo ALAF?Kwenye ubora mwingine binafsi sijaona tofauti(gauge),tofauti iko kwenye rangi,bati za alaf bati zake zinachukua muda sana kupauka
Kiwandani wapi?Nimeona hapo umesema unahitaji bati 110, mm mwnyw kipindi nataka Kupaua nilikuwa nahitaji kuchukua ALAF ila kutokana na usumbufu wa pale ikabidi nitafute fundi ambaye kuna nyumba alipaua maeneo nilipo na kila nilipokuwa nikienda site ile nyumba bati lake lipo vilevile nyngn zinapauka, alafu ilikuwa imepauliwa vizuri ...nikamtafuta fundi aliyepaua nikamwambia kwanza nahitaji unipaulie tukaelewana, nikamuuliza ile nyumba bati zake za wapi? Akaniambia za Dragon ila kwautafiti wangu Dragon sikuwahi kuwaza kabisa...,mwisho wa Siku alinieleza ukweli jamaa alinunua sunshare,..nadhani mafundi Huwa wanapata chochote wakipeleka wateja...ikabidi nienda Sunshare, japo fundi aliniambia bati 110 ila mm nilikuwa sipendi bati mojamoja zinakuwa hazina muonekano mzuri zikipauliwa..ikabidi nimwambie anipimie nikakate kiwandani na nilienda na bajeti ileile ila huwezi amini kwa bati za kupima niliweza kusave kama lakin 6 hivi.
Kwaiyo kama unaweza jaribu hvyo...ila ushauri usije ukanunua bati za bei rahisi utaichukia nyumba yako.
oya kumbe unaingiaga hadi site 😀 😀 😀 😀Mbona kama huyo mtu wa kinglion Mabati ni Mimi!!!!?[emoji23][emoji23][emoji23]