Kwanza unapaswa kujua bazi zipo aina tofauti kwa maama ya urefu 3m, 2.5m na 2m lakinj pia zina upana tofauti 87cm, 92cm.... halafu kuna gauge 32, 30, 28.... sasa ukianza ku list ndefu.Asante mkuu. Angalau unaweza kutusaidia bei zao ili na wengine wapato chochote hapa
Watu wengi wanapigwa sana kwenye bati mfano: mtu anaquote bati ya urefu 3m upana 92. Akienda kununua anachukua za urefu sawa ila upana tofauti kumbuka 87 hadi 93 ni utofauti wa 6cm hivyo kila bati 15 utaongeza bati moja. Ila kwenye bei zinatofautiana kwa karibu 1000 kwa meter.
Aina ya pili ya wizi ni namna wanavyofanya calculation ya idadi ya sq.meter. kama haupo makini utapigwa.
Umakini muhimu sana usemi wa mafundi "Huyu hajengi tena siku za karibuni".