Man in the Middle
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 696
- 1,615
Mtu yeyote asiyepigania Mgombea huru hapa Tanzania ni mbinafsi tuTumbo na ubinafsi, Mbowe mpaka leo amekataa kuyakubali matokeoa ya uchaguzi wa kidemokrasia, huku miaka yote ameishi akihubiri Demokrasia na Chadema kirefu chake ni Demokrasia na Maendeleo.
Mbowe ametuchelewesha sana , mhuni sana ,wajumbe wa chadema Mungu awabarikiView attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Mkuu Mbowe aligeuza ofisi za Chama kama Biashara yake ìnayo muingizia Kipata na alikua hapati Asala sasa aliyoondolewa tu mambo yote yakaenda kombo, alishazoea kuishi kifalme kupitia Chadema na sasa hivi hawezi tena kusafiri hovyo hovyo kweda Ulaya na MarekaniTumbo na ubinafsi, Mbowe mpaka leo amekataa kuyakubali matokeoa ya uchaguzi wa kidemokrasia, huku miaka yote ameishi akihubiri Demokrasia na Chadema kirefu chake ni Demokrasia na Maendeleo.
View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Yah kweli Siasa za Tanzania inabidi zisibiri kizazi cha Wakina Mbowe kiondoke Duniani, yani Wanafanya Siasa za Uongo na za kitapeli hakuna tofauti na wale Matapeli wa mchezo wa karata 3 ukienda wanapocheza mchezo wa karata tatu utaona Mama anakuja anacheza ana shinda pesa lakini ukojaribu kucheza wewe unaliwa pesa yako, ukija kuchunguza kwa umakini utakuja kugundua wanao cheza na kula pesa ni wenzao na wanaochezesha huo Mchezo, Mbowe alikua na kikundi chake ambacho kimehamia Chaumma baada ya kuona Chama hakitashiriki Uchaguzi wakaamua wakimbie kwasababu mtu wao aliyekua anawapa chakula kafukuzwa jikoni.Atauwa morali ya vijana wengi sana kujitafakari upya kuhusu Siasa za Tanzania.
Ndiyo maana mimi kwenye awamu ya Magufuli nilikua na mtetea Magufuli alivyo wafunga jela, inaoneka kwenye awamu ya Magufuli huyu Mbowe alikua Upande wa wahuni inaonekana aliungana na Wakina Kinana, Nape, January, Mzee Makamba kumpelekea Moto Magufuli, ni ajabu kupinga Bwawa la Umeme kwenye awamu ya Magufuli na kulikubali awamu hii ambayo imeua watu imearibu nchi kuliko awamu iliyopita.Nimeumia sana mangi miyeyusho aisee
Kweli mbowe alikuwa project ya wana mtandao hakikaNdiyo maana mimi kwenye awamu ya Magufuli nilikua na mtetea Magufuli alivyo wafunga jela, inaoneka kwenye awamu ya Magufuli huyu Mbowe alikua Upande wa wahuni inaonekana aliungana na Wakina Kinana, Nape, January, Mzee Makamba kumpelekea Moto Magufuli, ni ajabu kupinga Bwawa la Umeme kwenye awamu ya Magufuli na kulikubali awamu hii ambayo imeua watu imearibu nchi kuliko awamu iliyopita.
Yani Mauj yote yale Dunia nzima imepinga lakini yupo kimya na alikua Kiongozi wa Upinzani. Yani bora hata lipumba ana roho ya UbinadamuKweli mbowe alikuwa project ya wana mtandao hakika
HakikaMnafiki na mbinafsi sana Mbowe!
Mbowe ni mzalendo sana, maendeleo hayana chama rip maguAsante sana Mbowe kwa kutuwakilisha kwenye Uzinduzi wa Bwawa la Nyerere.Suti imekupendeza sana.
While ni suala la kimaendeleo sio siasa na tunaheshimu maamuzi yake ya kidemokrasia lakini amefanya kosa kubwa la kimkakati. Yaani siku moja baada ya Lissu kupewa kesi ya kujibu alafu anaonekana akiwa na watesi wa Lissu inatoa picha mbaya sana kwa wanamageuzi.
We mpumbavu kwanza upambane na huo udumavu wa lishe wa huko kwenu Njombe, we umedumaa akili! Unajua kwanini anaitwa Freeman? Huyo babake Aikaeli Mbowe ndiyo waliomchangia baba wa Taifa kwenda Newyork kudai uhuru wa nchi yetu, huyo ni mzalendo wa kweli alistahili kuwa waziri mkuu ila kuna kosa alifanya. Na inawezekana ni TISS, hao wana viapo vya ukweli! Na atarudi kuwa mtu mkubwa!View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Usifikiri ni bahati mbaya kuvaa sare na mwaziri, huyo ni mzee wa kitengo!View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Lioneni hili fala, ukombozi wa huo upumbavu wako? We ni lofa tu huo ukombozi mtaukuta kuzimu mabwege nyieHuyu jamaa alituchelewesha sana kwenye harakati za ukombozi na ule ukamanda wake uchwara.
Uendeshaji wa siasa ni kazi kubwa. Wengi wataishia kutukana tu humu.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Mna hangaika tu. Mbowe anaishi maisha yake anavyotaka mwenyewe na nyie nanyi ishini maisha yenu. Ku vent humu hakusaidii kitu maana hata akisoma atapuuza.