Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

Aache siasa za kinafiki, ashauri upande huo uachane na kesi ya mwenyekiti wa chama chake mioyo ya watanzania wote iwe na furaha na nchi yao
 
Mbowe anaidai Chadema, kaandaa mkutano wa uchaguzi Mlimani City na posho za wajumbe source ya pesa haijurikani ilikotoka na bado wajumbe wakamchinjia baharini, hili Mangi bafo linamkereketa yani anajiuliza Billion kadhaa si bora angezipiga mwenyewe?

Huyo hajapona maumivu bado na anaonesha wazi kwa hili hajawa mnafki ameonesha rangi zake zote.
 
Hii ni Tanzania. Kushinda uchaguzi is one thing, kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi is another thing!
Kwa hiyo imani yako ni kuwa Slaa angemshinda Magufuli lakini Magufuli angetangazwa mshindi?

Na Chadema ingepata wabunge wengi vile vile?

Amandla...
 
Source ya pesa za Mbowe hazijulikani?

Amandla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…