Mbona umepaniki mbuzi mmoja wewe usiye na mkia? Halafu ukome kunitikisia makalio yako.Lioneni hili fala, ukombozi wa huo upumbavu wako? We ni lofa tu huo ukombozi mtaukuta kuzimu mabwege nyie
Sijui, lakini swali la kujiuliza ni kwanini CCM huwa wanafanya election rigging kama uwezo wa kupata clean victory wanao?Kwa hiyo imani yako ni kuwa Slaa angemshinda Magufuli lakini Magufuli angetangazwa mshindi?
Na Chadema ingepata wabunge wengi vile vile?
Amandla...
Itakua hivo maana Siamini kwa anayofanya.Unahisi ujinga mtupu.
IpimpiView attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Freeman Mbowe is a statesman.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Baada ya Mbowe kuchomolewa uenyekiti CCM wamefanya matendo makubwa ya ukatili kuliko hata waliyoyafanya wakati Mbowe akiwa mwenyekiti.Huyu jamaa alituchelewesha sana kwenye harakati za ukombozi na ule ukamanda wake uchwara.
Sisi makamanda halisi tulishamjua Mbowe ndiyo maana kwenye uchaguzi wa chama tulimkataa waziwazi wengine mkatuona hatuna akili. Mbowe ni mhuni tu period!View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Hakuna aliyemtukana wala kumzuia asiendelee na maisha yake...Mna hangaika tu. Mbowe anaishi maisha yake anavyotaka mwenyewe na nyie nanyi ishini maisha yenu. Ku vent humu hakusaidii kitu maana hata akisoma atapuuza.
Mbowe hadaiwi kitu na mtu wala chama. Hivyo kumuita traitor, msaliti hakumpunguzii kitu. Matusi hayo yalikuwa effective wakati wa uchaguzi lakini baada yake hayana effect yeyote.
Muacheni aendelee na maisha yake. Acheze na watoto na wajukuu wake. A chill na rafiki zake na aendeleze biashara zake.
Alichofanya kinatosha mno. Huu ni wakati wa wengine kuendeleza mpambano na kusahihisha pale wanapoona alikosea.
Amandla...
Yeye alipokuwa jela, hawa hawa wanaompamba na kumsifu walimtukana matusi yote.View attachment 3655028View attachment 3655029View attachment 3655030
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Tapeli la kisiasa!Mnafiki na mbinafsi sana Mbowe!
Amekuwakilisha kama nani? Kigaila kawakilisha Chaubwabwa na je yeye Mbowe kawakilisha nani hadi kuwa mstari wa mbele utadhani balozi.Asante sana Mbowe kwa kutuwakilisha kwenye Uzinduzi wa Bwawa la Nyerere.Suti imekupendeza sana.
Wachaga ndio mipango yao ushawahi miona sio mbinafsi wapi maslahi yake kwanza wengine bdae fikiria Lissu yupo anasota halafu yeye anavaa suti kwa mbwembwe uzinduzi wa vitu visivyostahili huo uzinduzi bure kabisa mbinafsi kupitiliza anafurahi Lissu akiendelea kutesekaMnafiki na mbinafsi sana Mbowe!