Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

Mnafiki na mbinafsi mkubwa sana,anataka apate yeye tu,
Wachaga wengi wabinafsi ila huyu amezidi kiwango,
He is too much of himself,Never think about others!!! Political Tumbocrat,
 
Wamenunua duka moja, au wameshona kwa fundi mmoja.

Kwa hiyo walipanga kuvaa hivyo. Ni marafiki, ni ndugu hao, ni Chama kimoja, hakuna mshangao hapo, na labda ni ajira moja, mlipaji na mwajiri ni mmoja, kasoro intake na mwaka wa kuingia kazini ndiyo tofauti.
 
Si ajabu hata yale marisasi ya Lissu akawa alihusika kwa namna moja au nyingine kama ambavyo huwa inasemwa semwa. Ndo maana pengine hata personal secretary wake Ben Saanane alipopotea jamaa hakujali kabisa! Siasa ni mchezo wa hatari sana!
 
Acha kusingizia watu, Mbowe hana uhuni unaosema. Kama amehusika na mauaji unayosema si akamatwe? Kwa maana nyingine unatuambia vyombo vyetu vya kiulinzi havina uwezo wa kujua nani amemuua nani? Mbowe anaweza kuwa na madhaifu yake lakini aliiongoza chadema nyakati zake kwa uwezo wake. Kama kwa sasa ameamua kuwa upande wa cccm tumwache pengine atajirudi. Lakini Mh. Mbowe alijitoa kwa kiasi chake enzi zake na wenyewe vijana hatukumpa support inayostahili akamilishe kazi. Sasa tuwasapoti viongozi wapya wakamilishe kazi waliyopokea kwa Mbowe.
 
Tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia ..atakamatwa vipi wakati aliohusika nao ndiyo wapo madarakani kwa sasa ..lengo lao lilikuwa kumchafua JPM
 
Amestaafu Siasa,
Karudi Biasharani,,,By the way Mangi huangalia namba.
Mengi hajawahi kuacha biashara. Alikuwa na anaendelea kuishi sera za chama chake cha Chadema. Chadema ni chama cha kibepari na hivyo kinahimiza wananchi wafanye biashara na wawekewe mazingira bora ya kufanya biashara. Kwa maneno mengine, kuilinda na kuikuza sekta binafsi ni kipaumbele cha Chadema.

Shida yenu mnashabikia viongozi na sio chama. Mngekuwa mnashabikia chama mngejua sera zake.

Amandla...
 
Tumia akili wacha kutumia kijambio kufikiri kama saa mia ..atakamatwa vipi wakati aliohusika nao ndiyo wapo madarakani kwa sasa ..lengo lao lilikuwa kumchafua JPM
Kwa hiyo unataka kusema nchi yetu ni banana Republic ambapo utumiaji wa sheria unafuata nani yupo madarakani? Kama ni hivyo na sisi wananchi tumenyamaza ni aibu kubwa. Nyie ndio mnatufanya hata tukiwa nchi za nje tuogope kujitambulisha kama watanzania.
 

Sasa hiyo inatuhusu nini uhuru ulipiganiwa na watu wengi sana nchi sio Mali ya mtu flani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…