Hata magufuli aliteua alipoona hawafai akawatengua na samai jamii ilimuonya kuhusu hao vilaza lakini akawateua amejionea mwenyewe hawafai Kisha kawatengua Sasa hapo la ajabu nini?Hakuna la ajabu kuteuliwa na kutenguliwa
Kama tu mama alivyoamua kuwapiga chini kina Kabudi, Biswalo ...Hata magufuli aliteua alipoona hawafai akawatengua na samai jamii ilimuonya kuhusu hao vilaza lakini akawateua amejionea mwenyewe hawafai Kisha kawatengua Sasa hapo la ajabu nini?
Tuache kujidharau, tuangalie tumejikwaa wapi na siyo tulipoangukia. Tatizo kubwa la nchi nyingi za Africa ni kutengeneza viongozi imara badala ya mifumo imara. America hata mkitofautiana na rais hadharani utaendelea kudunda. Hapa kwetu upishupaza shingo, hata biashara, mashamba, ajira na kila ulichonacho unaweza kunyang'anywa na hakuna chombo chochote cha kukulinda. Matokeo yake uoga umezidi na tumebaki na uchawa mwingi.Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Sure. Bila kuuana nchi za africa hakuna anayejali kabisaTuache kujidharau, tuangalie tumejikwaa wapi na siyo tulipoangukia. Tatizo kubwa la nchi nyingi za Africa ni kutengeneza viongozi imara badala ya mifumo imara. America hata mkitofautiana na rais hadharani utaendelea kudunda. Hapa kwetu upishupaza shingo, hata biashara, mashamba, ajira na kila ulichonacho unaweza kunyang'anywa na hakuna chombo chochote cha kukulinda. Matokeo yake uoga umezidi na tumebaki na uchawa mwingi.
Bara la Afrika lilaaniwe Mara ngapi??Sipendi mtu anae laani Africa 🌍....hili bala limebatikiwa wewe ni nani utoe laana
Ndio kawapiga chini na vilaza kina makambaKama tu mama alivyoamua kuwapiga chini kina Kabudi, Biswalo ...
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu kabisa!Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
kutulia haiwezekani bila kitulizo 🐒🤣🤣🤣 Tulia wewee🤒
🤣🤣🤣🤭kutulia haiwezekani bila kitulizo 🐒
Kwa hiyo ni kweli tumetokana na Nyani c et!Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
NdiyoKwa hiyo ni kweli tumetokana na Nyani c et!
Sasa hapa mwehu ni nani kati ya wewe na mleta uzi!! Waafrika ni shidaaaHadi 2025 wehu mtapungua tu mitandaoni.
Wehu wake ni kujifanya ana uhakika Magufuli asingetoka madarakani...Sasa hapa mwehu ni nani kati ya wewe na mleta uzi!! Waafrika ni shidaaa
Magufuli ndo alituharibia nchi hivyo lazima awe referenceUkiandika bila kumuweka Magufuli unapungukiwa nini?