Mmeona sasa utofauti kati ya Uwajibikaji wa Wazungu na Waafrika? Kwetu Rais mpaka afie madarani vinginevyo hatoki!

Hakuna la ajabu kuteuliwa na kutenguliwa
Hata magufuli aliteua alipoona hawafai akawatengua na samai jamii ilimuonya kuhusu hao vilaza lakini akawateua amejionea mwenyewe hawafai Kisha kawatengua Sasa hapo la ajabu nini?
 
Kama tu mama alivyoamua kuwapiga chini kina Kabudi, Biswalo ...
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Tuache kujidharau, tuangalie tumejikwaa wapi na siyo tulipoangukia. Tatizo kubwa la nchi nyingi za Africa ni kutengeneza viongozi imara badala ya mifumo imara. America hata mkitofautiana na rais hadharani utaendelea kudunda. Hapa kwetu upishupaza shingo, hata biashara, mashamba, ajira na kila ulichonacho unaweza kunyang'anywa na hakuna chombo chochote cha kukulinda. Matokeo yake uoga umezidi na tumebaki na uchawa mwingi.
 
Sure. Bila kuuana nchi za africa hakuna anayejali kabisa
 
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu kabisa!
 
Attachments

  • IMG_20240104_112750_7.jpg
    IMG_20240104_112750_7.jpg
    1 MB · Views: 1
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.

Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.

Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024

Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!

I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.

Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Kwa hiyo ni kweli tumetokana na Nyani c et!
 
Back
Top Bottom