Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu eti kuna Jaji Mstaafu wa Kenya anasifia sana kua Uchaguzi ulikua wa Haki kabisaKiini macho hamna uchaguzi pale
Na lile jitu kama sio Mungu kuingilia kati lisingetoka madarakaniHadi 2025 wehu mtapungua tu mitandaoni.
Washalambishana viongozi wengi wa Africa wanafanana akiliHalafu eti kuna Jaji Mstaafu wa Kenya anasifia sana kua Uchaguzi ulikua wa Haki kabisa
Yaan hapo Jaji Kala Hela zake za kusimamia kaingia chocho zake nyinyi mtajijua wenyewe na linchi lenuWashalambishana viongozi wengi wa Africa wanafanana akili
Umeanza vizurii mwishoni umeharisha Haya ya mwishoKila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Kampe pole boss wako, emewekwa kando.Na lile jitu kama sio Mungu kuingilia kati lisingetoka madarakani
Bado kuna tofauti kubwa kati ya waafrika na wazungu.mifano iko mingi duniani.ata huyo biden bado alikua na uamuzi wakwenda hadi kwenye sanduku la kura uchaguzi ukaamue.Kwa mwafrika hadi kifo kimuondoe au jeshi liingilie kati kama ilivyotokea kwa baadhi ya nchi za afrika magharibi.Umefuatilia habari kuona idadi ya senior democrats representative waliokuwa wanamsihi aachie last count ni 40.
Bado kuna donors ambao wali-commit kuchangia $90 million ya campaign ya uraisi, walisema awatatoa tena kama Biden atakuwa nominated.
Kulikuwa na pressure kubwa ya ndani ya chama chake na wafuasi wao, babu hana mental capacity ya kuendesha nchi. Sio kwamba kaachia tu kirahisi.
Sasa sijui Magufuli anaingia vipi wakati hakuna ushahidi wa yeye kutaka kuongoza maisha, angetaka ivyo watanzania wengi pia tungeuka mkono kazi ya maendeleo iendelee.
Yule Hali Malaga alikua na akili alipokua Kenya kama Jaji,ila alipostaafu zikapoteaHalafu eti kuna Jaji Mstaafu wa Kenya anasifia sana kua Uchaguzi ulikua wa Haki kabisa
Mtu mwenye miaka 76 hakutakiwa kuwa rais,ni kuyumba kwa dish la Biden kwenye mdahalo ndiyo kumemtoa,mnakuaje na rais hawezi nyoosha sentensi kisa dishi haliko sawa!!?Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Biden anamkaribisha Zelensky alafu anamuita Jina Putin na Nchi anampa Ukraine, Biden ni Yuniki Fulawa wa Marekani dish limeyumbaMtu mwenye miaka 76 hakutakiwa kuwa rais,ni kuyumba kwa dish la Biden kwenye mdahalo ndiyo kumemtoa,mnakuaje na rais hawezi nyoosha sentensi kisa dishi haliko sawa!!?
putin vipi ni mwafrika?Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka afanye hivyo.
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Huku kwetu Africa, Rais mpaka afie madarakani. Museveni, Kagame, nk, hawataki kabisa kuachia madaraka eti wanaleta maendeleo as if watu wengine ni vilaza wenyewe ndio wana akili tu!
I'm sure hata Hayati Magufuli alikuwa anataka kufata the same path, asingeachia madaraka kabisaa. Ndio maana kaweka bunge lote CCM ili asipingwe kwa chochote na akahakikisha chombo cha habari ni TBC tu vingine akawa anawaita malaika kuvifuta.
Hakika sisi Waafrika ni laana na Mungu anajua sisi siyo binadamu.
Tofauti ninayoiona mimi ni unfair election.Bado kuna tofauti kubwa kati ya waafrika na wazungu.mifano iko mingi duniani.ata huyo biden bado alikua na uamuzi wakwenda hadi kwenye sanduku la kura uchaguzi ukaamue.Kwa mwafrika hadi kifo kimuondoe au jeshi liingilie kati kama ilivyotokea kwa baadhi ya nchi za afrika magharibi.
Putini nays ndo walewale. Queen siyo asminstrative post ya kuchaguliwa ile ni symbolic au ceremonial leadershipputin vipi ni mwafrika?
queen yule wa uingereza si kafia madarakani
yupo rais wa china nadhani naye wamemptisha afie madarakani
mzee wa kibwenzi