Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.

Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.

Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.

Wananchi kuna haja ya kujitafakari.

===============================

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.

CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.

lissu.jpg

lissu1.jpg
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.

Kesi
hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.

Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

Screenshot_2025-08-05-14-34-52-1.png
Screenshot_2025-08-05-14-35-01-1.png
 
View attachment 3432234

View attachment 3432235
Brenda Rupia, popote ulipo, don’t be lazy; proofread your documents before signing them!
 
Wananchi wa bongo hawajawahi kuwa supportive kwa Chadema. Wangekuwa supportive Chadema wasingekuwa wanakopeshwa pesa na bepari Mbowe
 
Wakuu

Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.

Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.

Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.

Wananchi kuna haja ya kujitafakari.

===============================

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.

CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.

View attachment 3432234

View attachment 3432235
hata sijui walikuwa wanasubiri nini.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.

Kesi
hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.

Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

View attachment 3432247View attachment 3432248
Scotish
1. General Considerations:
Similar Scrutiny:
Concealed witnesses, like all witnesses, are subject to the same rules of evidence and assessment of credibility.
Coherence and Consistency:The court will assess the coherence of the witness's testimony and its consistency with other evidence presented.Corroboration:If the concealed witness's testimony is corroborated by other evidence, it can strengthen its reliability.

2. Factors Affecting Credibility:Motivations:The court will consider why the witness needs protection and whether there are any potential biases or ulterior motives.Manner of Testimony:The court will observe the witness's demeanor, particularly if they are testifying remotely, to assess their truthfulness and accuracy.Consistency with Other Evidence:If the concealed witness's account aligns with other evidence, including that of other witnesses, it can enhance their credibility.Cross-examination:While cross-examination may be limited due to protective measures, it is still a crucial tool for challenging the testimony.

3. Addressing Concerns😛otential for Prejudice:The court must be mindful of the potential for prejudice against concealed witnesses and ensure that the accused has a fair trial.Balancing Protection and Justice:The court must balance the need to protect the witness with the need to ensure a fair and just outcome.
4. Legal Framework:
  • International Law:
    The UN Convention against Transnational Organized Crime recognizes the need to protect witnesses in criminal proceedings, including those involving organized crime.
  • Domestic Laws:
    Many jurisdictions have laws and procedures in place to protect witnesses, including concealed witnesses, while also ensuring the accused's right to a fair trial.
In conclusion: Concealed witness testimony is not inherently unreliable, but it requires careful scrutiny and consideration of various factors to determine its credibility and reliability.

Kinubi
  1. Maoni ya Jumla: Kuchunguza Kifano:Mashahidi waliofichwa, kama mashahidi wote, wanapaswa kufuata sheria sawa za ushahidi na tathmini ya uaminifu. Ushirikiano na Uthabiti:Mahakama itakagua ushirikiano wa ushuhuda wa shahidi na uthabiti wake na ushahidi mwingine uliowasilishwa. Uthibitisho:Ikiwa ushuhuda wa shahidi aliyejificha unathibitishwa na ushahidi mwingine, inaweza kuimarisha uaminifu wake.
  2. Sababu Zinazoathiri Uaminifu:Motisha:Mahakama itazingatia kwa nini shahidi anahitaji ulinzi na ikiwa kuna upendeleo wowote wa uwezekano au nia za siri. Njia ya Ushuhuda:Mahakama itatazama mwenendo wa shahidi, hasa ikiwa wanatoa ushuhuda kwa mbali, ili kutathmini ukweli wao na usahihi. Uthabiti na Ushahidi Mwingine:Ikiwa simulizi ya shahidi aliyejificha inalingana na ushahidi mwingine, ikiwa ni pamoja na mashahidi wengine, inaweza kuimarisha uaminifu wao. Kuchunguzwa:Ingawa kuchunguzwa kunaweza kuwa na mipaka kutokana na hatua za ulinzi, bado ni chombo muhimu cha kupinga ushuhuda.
  3. Kukabiliana na Wasiwasi:Uwezekano wa Upendeleo:Mahakama lazima iwe makini na uwezekano wa upendeleo dhidi ya mashahidi waliofichwa na kuhakikisha mshtakiwa anapata kesi ya haki. Kusawazisha Ulinzi na Haki:Mahakama lazima isawazishe hitaji la kulinda shahidi na hitaji la kuhakikisha matokeo ya haki na ya haki.
  4. Mfumo wa Kisheria: Sheria za Kimataifa:Mkataba wa UN dhidi ya Uhalifu wa Kimataifa unatambua umuhimu wa kulinda mashahidi katika mchakato wa jinai, ikiwa ni pamoja na wale wanaohusishwa na uhalifu wa kikundi.Sheria za Ndani:Mikoa mingi ina sheria na taratibu zilizowekwa kulinda mashahidi, ikiwa ni pamoja na mashahidi waliofichwa, huku pia ikihakikisha haki ya mshtakiwa ya kupata kesi ya haki.Kwa kumalizia: Ushahidi wa shahidi aliyefichwa si wa kuaminika kiasili, lakini unahitaji uchunguzi wa makini na kuzingatia mambo mbalimbali ili kubaini uaminifu na kuaminika kwake.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.

Kesi
hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.

Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

View attachment 3432247View attachment 3432248
Pia CHADEMA wapinge ili la kuwaficha watoto sura zao wakati wakitoa ushahidi. CHADEMA tukiingia madarakani hamna cha sheria wala nini ,tutafuata kauli na msimamo wa mwenyekiti basi.
 
Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.

Kesi
hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.

Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.

Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa

View attachment 3432247View attachment 3432248
mtahenya mwaka huu na wazungu mnaowategemea halafu wao wana wazoom tu nakuwacheeeeeka
 
Wakuu

Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.

Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.

Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.

Wananchi kuna haja ya kujitafakari.

===============================

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.

CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.

View attachment 3432234

View attachment 3432235
Sasa kama sirikali wanakusudia kukandamiza watu huku mifumo ya kutoa haki ipo paralysed unataka waombe msaada wapi,kwako?.Wakati wa vita silaha yeyote hutumika.Kuna wakati hata Mungu hukubaliana na kutumia njia za shetani kutimiza malengo yake.
 
Wakuu

Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.

Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.

Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.

Wananchi kuna haja ya kujitafakari.

===============================

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.

CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.

View attachment 3432234

View attachment 3432235
Chadema inajipa umuhimu kwa wananchi wasiotaka huo umuhimu wao.

Huwezi jifanya unapigania watu wasiotaka kupiganiwa.

Na pia ugomvi wa Lissu na chama tawala ni ugomvi wa wanasiasa wananchi sioni kama unawahusu acha wanasiasa wapigane vile wao wanavyoweza na wanavyoona wao.
 
Back
Top Bottom