Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Bila shaka utakua ni kamanda wa mafurikoAcha ukichaa
Bila shaka utakua ni kamanda wa mafurikoAcha ukichaa
Bila interference, Jamaa anaenda kunyongwa
Ss wananschi tunasemanlissunasitokeAlisema atakinukisha, sasa hivi yeye ndio ananuka
Kutegemea Mahakama za Tanzania kwamba ziwatendee HAKI mtakuwa mnajidanganya bure. Chukueni hatua kali zaidi Sasa. Toeni Wito Rasmi wa kuomba Msaada kwa Dunia yote kabisa kama walivyofanya wenzenu Watu wa Chama Cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa Rangi wa Makaburu. Dunia nzima iliitika Wito wa Watu wa ANC, na Watu hao walipatiwa misaada kedekede. Hata sisi waTanzania pia tuliwapatia misaada yetu Watu hao wa ANC na hatomaye waliweza kujikomboa kutokana na Udhalimu mbaya Sana waliokuwa wakifanyiwa na Makaburu.Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.
Kesi hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.
Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3432247View attachment 3432248
Hatua zimeshachukuliwa na zimesambazwa Dunia nzimaKutegemea Mahakama za Tanzania kwamba ziwatendee HAKI mtakuwa mnajidanganya bure. Chukueni hatua kali zaidi Sasa. Toeni Wito Rasmi wa kuomba Msaada kwa Dunia yote kabisa kama walivyofanya wenzenu Watu wa Chama Cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa Rangi wa Makaburu. Dunia nzima iliitika Wito wa Watu wa ANC, na Watu hao walipatiwa misaada kedekede. Hata sisi waTanzania pia tuliwapatia misaada yetu Watu hao wa ANC na hatomaye waliweza kujikomboa kutokana na Udhalimu mbaya Sana waliokuwa wakifanyiwa na Makaburu.
Wacha tuoneBaada ya uchaguzi ataachiwa .lengo la kumkamata NI ili hasishiriki uchaguzi au kuhamasisha no reform no elections.