Brenda Rupia, popote ulipo, don’t be lazy; proofread your documents before signing them!Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.
Wananchi kuna haja ya kujitafakari.
===============================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.
CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.
View attachment 3432234
View attachment 3432235
Wananchi wa bongo hawajawahi kuwa supportive kwa Chadema. Wangekuwa supportive Chadema wasingekuwa wanakopeshwa pesa na bepari MboweWakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.
Wananchi kuna haja ya kujitafakari.
===============================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.
CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.
View attachment 3432234
View attachment 3432235
hata sijui walikuwa wanasubiri nini.Wakuu

ScotishMahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.
Kesi hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.
Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3432247View attachment 3432248
Pia CHADEMA wapinge ili la kuwaficha watoto sura zao wakati wakitoa ushahidi. CHADEMA tukiingia madarakani hamna cha sheria wala nini ,tutafuata kauli na msimamo wa mwenyekiti basi.Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.
Kesi hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.
Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3432247View attachment 3432248
Acha ukichaaPia CHADEMA wapinge ili la kuwaficha watoto sura zao wakati wakitoa ushahidi. CHADEMA tukiingia madarakani hamna cha sheria wala nini ,tutafuata kauli na msimamo wa mwenyekiti basi.
Yote life tu, wewe leo unakula zako miamia za miasaa, endelea kuenjoiAlisema atakinukisha, sasa hivi yeye ndio ananuka
mtahenya mwaka huu na wazungu mnaowategemea halafu wao wana wazoom tu nakuwacheeeeekaMahakama Kuu ya Tanzania imeagiza Mashahidi wa Kesi ya Uongo ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wafichwe na ushahidi wao uwe kama Amri kuu za Mungu.
Kesi hiyo inayovunja rekodi ya Dunia kwa kuwa Kesi ya kwanza ya Uhaini inayomhusisha mtu mmoja Pekee ilichelewa kupelekwa Mahakama Kuu kwa vile Mtukufu Masaju ambaye ndio Mtunzi na mwanzilishi wa vifungu hivyo Tanzania, alitaka vipelekwe kwanza Mahakama Kuu vikapigwe Mhuri ili vimshughulikie Tundu Lissu.
Masaju akiwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye aliyebuni vifungu hivyo na kuvileta bungeni ambapo sasa akiwa Jaji Mkuu amevibariki Rasmi na kuirejesha Tanzania miaka zaidi ya 400 nyuma ambako Vifungu hivyo vya kijinga vilitumika.
Taarifa ya Chadema iliyosambazwa Duniani kote hii hapa
View attachment 3432247View attachment 3432248
Sasa kama sirikali wanakusudia kukandamiza watu huku mifumo ya kutoa haki ipo paralysed unataka waombe msaada wapi,kwako?.Wakati wa vita silaha yeyote hutumika.Kuna wakati hata Mungu hukubaliana na kutumia njia za shetani kutimiza malengo yake.Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.
Wananchi kuna haja ya kujitafakari.
===============================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.
CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.
View attachment 3432234
View attachment 3432235
haya endelea kufurahia ila kuna siku mtalia na kusaga menoAlisema atakinukisha, sasa hivi yeye ndio ananuka
Chadema inajipa umuhimu kwa wananchi wasiotaka huo umuhimu wao.Wakuu
Nadhani kama wanachi tunatakiwa kujitafakari sana. Kwenye hii barua ni kama CHADEMA wamekata tamaa kwenye kuwategemea wananchi.
Mwishoni huku wamesema wanaomba Bunge la Marekani na Jumuiya za Kimataifa kuangalia kwa ukaribu what is going on kuhusu kesi ya Tundu Lissu.
Yaani ni kama wamegive-up kuhusu nguvu ya umma. The last hope they have ni international community.
Wananchi kuna haja ya kujitafakari.
===============================
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani uamuzi wa Mahakama Kuu kuruhusu mashahidi wa upande wa mashtaka dhidi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Antiphas Lissu, kuficha utambulisho wao kwenye kesi ya uhaini.
Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia, chama hicho kimesema hatua hiyo inakiuka haki za kikatiba za mshtakiwa kupata taarifa kamili za mashahidi na ushahidi dhidi yake pamoja na haki ya kuwahoji mashahidi hao.
CHADEMA imesema utaratibu wa ushahidi wa siri unaathiri uhuru wa mahakama na kugeuza mahakama kuwa chombo cha ukandamizaji badala ya ulinzi wa haki, na imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa ikiwemo Bunge la Mareakani pamoja na mashirika ya haki za binadamu kufuatilia mwenendo huo wa kisheria nchini Tanzania.
View attachment 3432234
View attachment 3432235
Naunga mkono hojaKinanuka Kisi***mi cha mamako