Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

Mungu yupo! Apandacho mtu ndicho atakachovuna. Wao wanaangalia uchaguzi tu. Ni sawa waende kwenye uchaguzi na kushinda kwa kishindo lakini hivyo viti wanavyokimbilia kwa gharama za damu za watu vitawatapika na watajuta kufanya hayo wanayofanya sasa! Time will tell.
 
Ndugu sasa ni kuchukua hatua, maana Mungu tunamuomba kila leo. Metal mada kasema Watanzania tumekatiwa tamaa, kutegemea nguvu yetu ni kazi bure
 
Pia CHADEMA wapinge ili la kuwaficha watoto sura zao wakati wakitoa ushahidi. CHADEMA tukiingia madarakani hamna cha sheria wala nini ,tutafuata kauli na msimamo wa mwenyekiti basi.

..kwani wanaokwenda kutoa ushahidi dhidi ya Tundu Lissu ni watoto kiasi cha kulazimisha kuwaficha?
 
Kaa mbali na ya chadema mkuu, ni ushauri tu
 
Uzuri tunawajua mashahidi wanaolengwa kufichwa, ni Freeman Mbowe na genge la wafuasi wake aliowatanguliza Chaumma, kila ubaya utalipwa hapa hapa duniani.
Walete ushahidi uliojitosheleza ndiyo jambo la msingi
 
Mwanasiasa ni yupi na mwananchi ni yupi?
 
Hapa siungi mkono.

Trump ni chizi sijui kama atawajibu
 
Atahukumiwa kifo lakini hakuna atakaye saini kunyongwa. Hivyo atakaa ndani akisubiria msamaha wa raisi.
Aisee ila atutamuona public tena mpk msamaha utokee, sio?
 
Wewe sio Mtanganyika ?
 
Hakuna kesi hapo, nikupotezeana muda,uhaini upi?? Mtapata laana na Lissu atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…