Mmesoma hii barua ya CHADEMA kuomba msaada kutoka kwenye Bunge La Marekani kuhusu kesi ya Lissu? Wananchi mko wapi?

Kutegemea Mahakama za Tanzania kwamba ziwatendee HAKI mtakuwa mnajidanganya bure. Chukueni hatua kali zaidi Sasa. Toeni Wito Rasmi wa kuomba Msaada kwa Dunia yote kabisa kama walivyofanya wenzenu Watu wa Chama Cha ANC Cha Afrika Kusini enzi za Utawala wa Ubaguzi wa Rangi wa Makaburu. Dunia nzima iliitika Wito wa Watu wa ANC, na Watu hao walipatiwa misaada kedekede. Hata sisi waTanzania pia tuliwapatia misaada yetu Watu hao wa ANC na hatomaye waliweza kujikomboa kutokana na Udhalimu mbaya Sana waliokuwa wakifanyiwa na Makaburu.
 
Hatua zimeshachukuliwa na zimesambazwa Dunia nzima
 
Huu ndio msingi wa matatizo ya Lissu na CDM unaomletea shida; kudhani ana external support ya mataifa ya wazungu.

Vinginevyo nadhani angekuwa na cautious approach katika harakati zake. Kutoka kupiga kelele mahakamani mnaona wazungu wale, mpaka kutaka anyongwe basi yaishe kama wameamua kumuonea tu it a pity; ni kama vile mtu anaenza kukata tamaa.

CDM toeni hizi fikra hamna hao backers wakizungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…