Mkuu kesi hata kama ya mauaji, wasahahidi hakuna wote wamelogwa wameisahau mahakama, kesi inafutwa.Kesi ya mauaji hustakiwi na ndugu wa marehemu unashtakiwa na jamuhuri mzee ustegemee hiyo dawa kufanya kaz labda umwage pesa huko mahakamani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kama hujui la kusema pita kimyakimya. Ng'ombe wewe.
Sasa mkuu historia zinaingiaje hapa...umekaa na mtu hapo umeingia ndani kidogo inapita mvua ya manyunyu na radi juu inambabua then mvua inaisha..utasema kuna historia hapo.Ulijaribu kufuatilia historia za hao watu lakini?
Dogo alikuwa akishika kitu kinawaka moto, yaani ndani akishika nguo zinawaka moto, akikaa kwenye kochi linawaka moto lakini yeye haungui...tukaenda tukakuta kindoo walichowekea unga kimewaka motoAnawakaje Moto.
Leta ushuhuda.Wanalogwa sana hao Mkuu
Background yao inaweza kuwa na uhusiano na tukio hiloSasa mkuu historia zinaingiaje hapa...umekaa na mtu hapo umeingia ndani kidogo inapita mvua ya manyunyu na radi juu inambabua then mvua inaisha..utasema kuna historia hapo.
HayaBackground yao inaweza kuwa na uhusiano na tukio hilo
Hi Hali imenikuta kwa Sasa Nina mdeni mtu wa Rukwa Kila nikimuona nageuka mpolee...na Sasa sitosahau nitamfuata Kila sikuKuna fundi flan kitaa alikua tapeli kichiz an so nunatoka hom na mahasira heavy ya kumdai but ukifika kwake una kua mpole as if we ndo mtuhumiwa
Huo uchawi unafaa hata vyuoni, ni kumroga tu mwalimu mnoko akisogelea dawati lako asikie vichomi vichomi miguuni. Mwisho akae mita 100 toka ulipo 😅😅😅Kipindi flani kuna kesi ya jinai ilikuwa inaendelea iko moto ushahidi umesimama sasa kwenye hukumu PP alishindwa kupanda kuonana na MH ..kila akipanda tumbo linakata linamvuruiga vibaya..akienda toilet hamna kitu..akirudi tu kwenye chamber hali inakuwa mbaya ghafla..ngoma ika hairishwa kama mara mbili hivi....majamaa wenzie wazoefu wakamfata wakamwambia ukikomaa unaweza kata moto hapo bora uwatafute ndugu wa mtuhumiwa uvute chako uyeyushe mambo usitoke kwa hasara..kweli mambo yakaisha.
Shenzi kabisa hayo mambo ya kichawi
Pande za huku kwetu kuna jamaa aliwahi kutuhumiwa kuiba simu ya mmama flani hv sasa siku ya kesi yule mama kaenda vizuri mahakamani cha ajabu alikua kama zuzu yani anaitwa mara kibao mshtaki yupo wapi yeye kimyaa....mwisho hakimu kafuta kesi kwa maana mshtaki (mlalamikaji) kapuuza kesi yake watu wanamshtua waondoke anauliza vipi? Anaambiwa muda wote hapa unauliziwa umenyamaza tu kesi imefutwa yule mama hakua na namna aisee....halafu huyu jamaa ndo hao wa huko kwa wazigua huko
IlikuwajehNilikua mmoja kati ya watu waliopinga sana uwepo wa uchawi.Maniner kilichonipata mwaka mmoja hata kusimulia sitaki.
. Ha haaa na ujanja wote huo umekamatika😀😀Hi Hali imenikuta kwa Sasa Nina mdeni mtu wa Rukwa Kila nikimuona nageuka mpolee...na Sasa sitosahau nitamfuata Kila siku
Wazigua kumbe ndio washenzi hivi!Pande za huku kwetu kuna jamaa aliwahi kutuhumiwa kuiba simu ya mmama flani hv sasa siku ya kesi yule mama kaenda vizuri mahakamani cha ajabu alikua kama zuzu yani anaitwa mara kibao mshtaki yupo wapi yeye kimyaa....mwisho hakimu kafuta kesi kwa maana mshtaki (mlalamikaji) kapuuza kesi yake watu wanamshtua waondoke anauliza vipi? Anaambiwa muda wote hapa unauliziwa umenyamaza tu kesi imefutwa yule mama hakua na namna aisee....halafu huyu jamaa ndo hao wa huko kwa wazigua huko
We acha ukimpigia utasikia njoo ofcn,njiani nimepanga leo ndio leo nikifika aaah mpoleee ananipiga sound naondoka..naona na yeye anayo zamwamwa yule. Ha haaa na ujanja wote huo umekamatika😀😀