Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hata wewe umekaririshwa. Ndio maana ukiulizwa swali mambo ambayo hujasoma hujibu kitu au hujibu kwa usahihi. Injinia amekariri formula, dokta amekariri magonjwa na tiba yake, mwanamuziki anachukua maneno anayaunganisha na kupata shairi. Kwa hio maroboti yanakariri kama binadamu. Ila huwa tunapenda kujikuza sana sisi binadamu.Hilo dude limekalilishwa kwaiyo liko Iimited mkuu
Ishu sio dokta kuingia na vitabu bali hata nafasi ya kuingia lab hawataipata. Everthing Robot watafanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ni mvivu wa kufikiri
ChatGPT inatakiwa uiguide kwenye kuiuliza maswali ikupe majibu unayoyataka.CHATGTP iko vzuri ila ina assume generalisation. Mfano nimeiuliza "how to drive howo truck"? Yenyewe ikanpa maelezo ya kudrive automatic car. I hope as time goes itaendelea kuimprove kutokana na new training & improvements.
Naona chatgpt inaenda kuwa replace freelancers. Yaan kazi zote zilizokua zinafanywa na freelancers kama vile article writing, translation, customer assistant,, nk zote zinafanywa na chatgpt by now.Last weekend nimeandike section nzima ya report kwa kutumia chatGPt.
Na ikapita haikuketa shida.
Ofcoz.Naona chatgpt inaenda kuwa replace freelancers. Yaan kazi zote zilizokua zinafanywa na freelancers kama vile article writing, translation, customer assistant,, nk zote zinafanywa na chatgpt by now.
Nu kweli kabisaWatu wengi wanafikiri hii kitu ni mbaya kwa wanafunzi na itawafanya wawe wa kukopi tuu, lakini upande mwingine hii kitu ni bora kuliko mwalimu wako, jaribu topic yeyote itakufundisha na hata ukiiambia ikupige maswali itakupiga na ukitaka solutions itakupa kwa uelewa mkubwa sana, muhimu ujue namna ya kuongea nayo na kuuliza maswali
Nimejaribu kui guide kwa kuuliza "HOW TO DRIVE MANUAL HOWO TRUCK WITH 10 GEARS" bado haijanipa exact answer. Mfano ukiwa unaendesha howo ukifika gear namba 5, unapress ile sprinter,,, unaingia high afu unarudi tena gear namba moja. Lakn hii GPT haijaniambia hvo.ChatGPT inatakiwa uiguide kwenye kuiuliza maswali ikupe majibu unayoyataka.
Ukiuliza swali general inakupa jibu general.
Watu wengi wanafikiri hii kitu ni mbaya kwa wanafunzi na itawafanya wawe wa kukopi tuu, lakini upande mwingine hii kitu ni bora kuliko mwalimu wako, jaribu topic yeyote itakufundisha na hata ukiiambia ikupige maswali itakupiga na ukitaka solutions itakupa kwa uelewa mkubwa sana, muhimu ujue namna ya kuongea nayo na kuuliza maswali
Hiyo ni ChatGPT, hujaja kwenye paraphrasing tools kama quillbot.GPT inasaidia sana atakaegoma kuendana nayo dunia haitasimama kumsubiria, cha muhimu ni kujua jinsi ya kuipa commands.
Watu wanapata ajira kufundisha matumizi ya ChatGPT, Freelancing sites zinaongeza hii kitu kwenye list ya ujuzi.
asubuhi nimetuma email dakika moja Ni mwendo wa commands tu... “chatGPT act sympathetic write email to bla bla... AI inaandika edit kidg imeisha hiyo
Inasaidia sana kuokoa mda, baada ya kukomaa kuandika email vizuri isiyo na typos unafanya mambo mengine.
Ebwanaeee! This is very emotional.Kuna very interesting and true story movie documentary ya hawa jamaa wa deepmind inaitwa AlphaGO, binadamu bingwa wa dunia na majivuno yake ambaye hajawahi kushindwa alicheza mechi na AI, kilichotokea angalia hapa
Hiyo ni ChatGPT, hujaja kwenye paraphrasing tools kama quillbot.
Quillbot ni tool inakupa vingi sana kwa upande wa sentensi.Quillbot hebu nielezee zaidi maana sasa hivi ni mwendo wa tools za kurahisisha productivity.
Ila mimi nna hasira kwanini wa Tz tuko nyuma sana, Twitter watu wanapost habari za mapenzi Na politics tu ndio wanajazana.
Binafsi inaniuma hapa sio mahala pake ila wa Tz tunafeli sana kwanini!?
Ungeiambia namna ya wewe kupiga pesa ndefu Tanzania sasa hivi ungekuwa mbali mno kimaisha.nikaiuliza kama inajua kiswahili, nikaimbia iandike short essay kumaliza umaskini Tanzania etc kwa kweli i was impressed na majibu yake na kila kitu